Siha Njema
Makala inayojadili kwa kina masuala ya afya, tiba na kutambua magonjwa mbalimbali bila ya kusahau namna ya kukabiliana nayo. Watalaam walibobea kwenye sekta ya afya watakujuvya na kukuelimisha juu ya umuhimu wa kuwa na afya bora na si bora afya. Pia utawasikiliza kwa maneno yao watu ambao wameathirika na magonjwa mbalimbali na walikumbwa na nini hadi kufika hapo walipo.
Soma yanayofuataSikiliza kipindi kilichopita
-
Nafasi ya wauguzi kwenye mkondo wa huduma za afya na huduma za afya kwa wanaoishi na ulemavu
Kila Mei kati ya tarehe 8- 14 dunia huwaenzi wauguzi ambao ni kiungo muhimu kwenye huduma za afya.16/05/202310:03 -
Mchango wa Wakunga katika utoaji huduma za kimsingi kwenye jamii
Kila Mei tarehe tano ,ulimwengu huadhimisha siku ya kimataifa ya wakunga09/05/202310:03 -
Mpango wa afya kwa wananchi wa Zanzibar
Zanzibar inaanza kutekeleza mpango wa mfuko wa bima wa afya kwa raia wote kupata huduma za afya bila malipo.02/05/202310:01 -
Dunia yaadhimisha siku ya Malaria
Ulimwengu huadhimisha siku ya malaria kila tarehe 25 mwezi wa nne. Malaria ni ugonjwa wa kuambukiza ambao unaenezwa na mbu wa jenasi anayefahamika kama Anopheles na kusababishwa na kidubini aina ya Plasmodium.26/04/202309:56 -
Jinsi mabadiliko ya tabia nchi yanavyoathiri afya na haki za akina mama
Mabadiliko ya tabia nchi yameendelea kufifiza usalama wa chakula chenye lishe,kupunguza uwezo wa akina mama wanaotegemea kilimo asili kulisha familia zao na kuongeza idadi ya magonjwa yasiyoambukizwa18/04/202310:12 -
Afya ya kinywa na tabia za kuzingatia kuchochea afya ya kinywa
Afya ya kinywa ni muhumi ilivyo afya ya sehemu zingine za mwili.11/04/202310:21 -
Mpango wa Car Free jijini Kigali unaolenga kuboresha afya na usafi wa jiji
Kila Jumapili ya kwanza ya kila mwezi na ya tatu wakazi wa Kigali hujumuika kufanya mazoezi ya pamoja05/04/202310:12 -
Ugonjwa wa Marburg unavyosambaa Afrika na mapambano ya TB nchini Kenya
Mataifa zaidi barani Afrika yameripoti virusi vya Marburg . Na kwenye mapambano ya TB nchini Kenya,ingawaje bado kuna idadi kubwa ya TB Sugu ,teknolojia mpya ya Gene expert iliyoboreshwa imeendelea kuchangia ubainishaji wa haraka28/03/202310:22 -
Mapambano ya kumaliza kifua kifuu nchini Kenya kuelekea mwaka 2035
Kwa mujibu wa mpango kazi wa shirika la afya duniani,WHO,mataifa yanastahili kupunguza vifo vinavyosababishwa na TB kwa asilimia 90 na maambukizo mapya kwa asilimia 80.21/03/202310:12 -
Kongamano la afya kujadili uthabiti wa mifumo ya afya na athari za mabadiliko ya tabia nchi Afrika
Kuna haja ya Afrika kuwa na mifumo thabit ya afya ,kuweka rasli mali zake pamoja na kuwa ajenda moja kuhusu afya ,wakati huu athari hasi ya mabadiliko ya tabia nchi zinapoendelea kukabili ulimwengu14/03/202310:14 -
Magonjwa yaliyotengwa ya Chikungunya na Homa ya Dengue bado changamoto
Magonjwa yaliyotengwa ingawaje hayajapewa kipau mbele bado ni changamoto kwa raia katika mataifa yanayoendelea08/03/202310:04 -
Unene uliopitiliza na magonjwa yasiyoambukizwa
Shirika la afya duniani limeonya kuhusu kuongezeka kwa watu walio na uzito wa kupitiliza ,hali inayowaweka hatari ya kupata magonjwa yasiyoambukizwa03/03/202309:42 -
Wakaazi wa Mombasa washiriki matembezi ya masafa marefu kupambana na magonjwa yasiyoambukizwa
Shirika la afya duniani limeonya kuhusu ongezeko la magonjwa yasiyoambukizwa haswa katika mataifa yanayoendelea21/02/202310:19 -
Ongezeko la akina mama wanaochagua kujifungua kwa njia ya upasuaji nchini Kenya
Idadi ya Wanawake nchini Kenya wanaojifungua hospitalini imeongezeka ingawaje idadi kubwa pia wanachagua njia ya upasuaji18/02/202309:37 -
Vipimo vya DNA vinavyofanyika nyumbani
Utata kuhusu unasaba umekuwa ndiyo sababu ya watu wengi kutaka kufanya vipimo vya DNA ambavyo huwa ghali na kuhitaji umakini mkubwa.07/02/202310:02
Makala inayojadili kwa kina masuala ya afya, tiba na kutambua magonjwa mbalimbali bila ya kusahau namna ya kukabiliana nayo. Watalaam walibobea kwenye sekta ya afya watakujuvya na kukuelimisha juu ya umuhimu wa kuwa na afya bora na si bora afya. Pia utawasikiliza kwa maneno yao watu ambao wameathirika na magonjwa mbalimbali na walikumbwa na nini hadi kufika hapo walipo.