Siha Njema
Makala inayojadili kwa kina masuala ya afya, tiba na kutambua magonjwa mbalimbali bila ya kusahau namna ya kukabiliana nayo. Watalaam walibobea kwenye sekta ya afya watakujuvya na kukuelimisha juu ya umuhimu wa kuwa na afya bora na si bora afya. Pia utawasikiliza kwa maneno yao watu ambao wameathirika na magonjwa mbalimbali na walikumbwa na nini hadi kufika hapo walipo.
Soma yanayofuataSikiliza kipindi kilichopita
-
Huduma za kupanga uzazi wakati wa Covid 19
Katika Makala ya Siha Njema tunaangazia Ripoti ya umoja wa mataifa , ya mwaka 2020 ya huduma za upangaji uzazi,mwaka moja tangu kuzuka janga la Corona .Ripoti hiyo imebaini kushuka kwa huduma hizo na kuonya mataifa mengi huenda ikapunguza uwekezaji wao kwenye huduma za kupanga uzazi kutokana na kuathirika kwa chumi zao .20/04/202109:55 -
Kinga thabiti wakati huu wa janga la Covid 19
Wiki hii tunazungumzia kuhusu kinga thabiti kwenye jamii imetumika kama será ya kupambana na ugonjwa wa Covid 19 miongoni mwa magonjwa mengine ya kuambukiza.14/04/202110:09 -
Fistula Tishio kwa Wajawazito wanaochelewa kufika Hospitali wakati wa Uchungu
Kwa Mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) zaidi ya wasichana na wanawake milioni 4 ulimwenguni wanaishi na tatizo la Fistula huku wanawake kati ya 50,000 na 100,000 wakipata tatizo hili kila mwaka.Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Siha Njema kuangazia Ugonjwa huo.27/06/201910:06 -
Lishe bora kwa watu wenye afya njema
Makala ya siha njema juma hili inaangazia mlo bora kwa watu wasio na matatizo kiafya,ikiwa ni mwanzoni mwa mwaka jamii inashauriwa kuwa na maazimio ya kula vizuri pia...31/01/201909:08 -
Fahamu kuhusu Homa ya Dengue
Karibu kujifunza kuhusu homa ya Dengue ambayo dalili zake ni homa ya ghafla, kuumwa kichwa, maumivu ya viungo na uchovu ...kufahamu mengi zaidi tegea sikio..28/09/201809:06 -
Fahamu kuhusu lishe bora kwa watoto
Karibu kuangazia umuhimu wa lishe bora kwa watoto,wataalamu wa afya kutoka jijini Dar es salaam wanaangazia maana ya lishe na kwa vipi jamii inaweza kuwapatia watoto ili kusaidia ukuaji mzuri..28/09/201809:45 -
Maziwa ya mama ni kinga kwa afya ya mtoto
Leo makala ya siha njema inaangazia umuhimu wa unyonyeshaji maziwa ya mama baada ya kugundulika kuwa wanawake wengi hawatilii maanani suala hilo..28/09/201810:17 -
Umuhimu wa wakunga katika kupunguza vifo vya wanawake wakati wa kujifungua na watoto wachanga
Dunia yaadhimisha siku ya wakunga na kubainisha umuhimu wao katika kupambana na vifo vya wanawake wajawazito na watoto wachanga wakati wa kujifungua..28/09/201809:51 -
Siku ya kupambana na ugonjwa wa malaria duniani
Malaria bado ni tishio katika mataifa yanayoendelea hasa katika bara la Afrika,tunaangazi augonjwa huu wakati huu dunia ikiadhimisha siku ya malaria ya kimataifa..28/09/201808:51 -
Ripoti ya shirika la afya duniani yaonya kuhusu ongezeko la visa vya saratani
Ripoti ya Shirika la afya duniani WHO kuhusu ongezeko la visa vipya vya saratani na vifo. Sabina Mpelo ameakuandalia makala hii kwa kuzungumza na watu mbalimbali akiwemo Waziri wa Afya wa Tanzania, Ummy Mwalimu21/09/201810:06 -
Fistula inatibika jamii yatakiwa kuwasaidia waathirika
Jamii imetakiwa kuwasaidia waathirika wa fistula badala ya kuwabagua na kuwanyanyasa.Tatizo la Fistula linatibika kwa nchini Tanzania matibabu hutolewa bure katika hospitali ya CCBRT jijini Dar es salaam..fuatilia zaidi makala haya.02/06/201808:56 -
Fahamu tatizo la Autism au usonji na namna ya kukabiliana nalo
Makala ya siha njema juma hili inaangazia usonji,kitaalamu Autism ambapo shuhuda Lucy Ruhasha mtanzania anasimulia namna alivyogundua tatizo hilo kwa mwanae wa kwanza na kukabiliana nalo...02/06/201809:49 -
Jema Baruani,Mtanzania anayeshuhudia kupona saratani ya mitoki
Makala ya siha njema inaangazia saratani ya mitoki baada ya kutembelewa na shuhuda aliyeugua na kutibiwa ugonjwa huo nchini Tanzania Jema Baruani ambaye anatoa hamasa kwa jamii kuwa na utamaduni wa kupima afya mara kwa mara ili kujua hali ya afya kabla ya kushambuliwa na magonjwa.Karibu24/04/201810:17 -
Kifafa cha mimba kinachangia vifo vya wajawazito na watoto
Wataalamu wanaangazia vifo vya watoto wachanga na wajawazito vinacvyochangiwa na tatizo la kifafa cha mimba katika siku za hivi karibuni.Daktari Daniel Nkungu bingwa wa matatizo ya kina mama akiwa Dar es salaam anazungumzia tatizo hili....02/11/201710:05 -
Uganda yathibitisha virusi vya Murbag
Karibu katika makala ya Siha Njema leo tunaangazia virusi vya Murbag ambavyo vimethibitika kuwepo nchini Uganda.Watu wawili wameelezwa kufariki dunia wakati huu kadhaa wakitengwa na kufanyiwa uchunguzi wa kiafya..kujua zaidi fuatana nami ..28/10/201709:18
Makala inayojadili kwa kina masuala ya afya, tiba na kutambua magonjwa mbalimbali bila ya kusahau namna ya kukabiliana nayo. Watalaam walibobea kwenye sekta ya afya watakujuvya na kukuelimisha juu ya umuhimu wa kuwa na afya bora na si bora afya. Pia utawasikiliza kwa maneno yao watu ambao wameathirika na magonjwa mbalimbali na walikumbwa na nini hadi kufika hapo walipo.