Siha Njema
Makala inayojadili kwa kina masuala ya afya, tiba na kutambua magonjwa mbalimbali bila ya kusahau namna ya kukabiliana nayo. Watalaam walibobea kwenye sekta ya afya watakujuvya na kukuelimisha juu ya umuhimu wa kuwa na afya bora na si bora afya. Pia utawasikiliza kwa maneno yao watu ambao wameathirika na magonjwa mbalimbali na walikumbwa na nini hadi kufika hapo walipo.
Soma yanayofuataSikiliza kipindi kilichopita
-
Uchomaji wa chanjo kwa watoto hususan ile ya ugonjwa wa surua
Wakati wa Covid-19 watoto wengi wamekosa kupata chanjo muhimu, hali ambayo imesababisha ongezeko la maambukizi ya magonjwa yanayoweza kuzuilika ikiwemo ugonjwa wa Surua.03/05/202209:17 -
Mbinu za kisasa za kupambana na Maleria barani Afrika.
Katika Makala haya Carol Korrir anazungumza na daktari Willis Akhwale mshauri wa muungano wa viongozi wa bara la Afrika kuhusu kupambana na Maleria juu ya mbinu za kisasa kukabiliana na ugonjwa huo ambao bado umeendelea kuwa tisho duniani.03/05/202210:09 -
Chupa za maziwa za watoto nchini Kenya
Makala ya leo yanaangazia sheria mpya nchini Kenya inayotazamiwa kuanza kutekelezwa mwezi ujao wa kudhibiti matumizi ya chupa za maziwa miongoni mwa watoto chini ya umri wa miaka mitano19/04/202209:41 -
Madhara ya madini ya lead nchini Nigeria na Kenya.
Makala ya wiki iliyopita iliangazia madhara ya madini ya lead nchini Nigeria na Kenya. Nchini Nigeria watoto zaidi ya mia 600 kutoka Zamfara na Niger walifariki dunia miaka 12 iliyopita na kumekuwa na kusafisha mazingira kuondoa simu ya Lead na kutoa matibabu kwa waathiriwa.19/04/202210:15 -
Siku ya Kimataifa ya kutambua watu wanaoishi na usonji
Tunaangazia tatizo la Usonji au Autism wakati Dunia ikiwa imeadhimisha siku ya usonji (Autism) ,tarehe mlbili mwezi Aprili.Takwimu za WHO zinasema kati ya watoto mia moja duniani mmoja ana tatizo hilo.08/04/202210:22 -
SIHA NJEMA
Makala haya yanaangazia tatizo la uzito wa kupitiliza katika afya ya bindaam. Unene wa kupitiliza unahusishwa na vyakula vya kisasa vinavyopendwa na wengi.30/03/202210:23 -
Changamoto za vijana na matumizi ya mipira ya Kondomu
Tunaangazia ufahamu ya matumizi ya kondomu, aina mbali mbali za kondomu na namna zinatumika na watu wa mbali mbali.22/03/202210:36 -
Mwitikio mdogo wa matumizi ya mipira ya kondomu miongoni mwa vijana
Tunaangazia sababu za kuwepo mwitiko mdogo wa matumizi ya kondomu nchini Kenye licha ya kupendekezwa kuwa mpango ambao unamlinda mtu kutokana na hatari ya kupata virusi vya HIV na magonjwa ya zinaa.22/03/202210:23 -
Madhara ya mimba za mapema na zisiyopangwa nchini Kenya
Katika makala haya tunaangazia madhara ya mimba za mapema zisizopangwa zinavyoathiri mustakakabali wa wanawake. Wasichana wanapoacha shule kutokana na mimba za mapema wanakuwa nyuma kimaendeleo.08/03/202209:50 -
Kutokuwepo na Usawa na huduma za afya barani Afrika
Makala haya yanaangazia namna ukosefu wa usawa kati ya maskini na utajiri umeendelea kuathiri huduma muhimu kwenye mataifa yanayoendelea. Shirika la OXFAM kwenye ripoti yake hivi majuzi imezema kuwa kutokana na janga la Corona ,watu matajiri waliongeza utajiri wao zaidi huku maskini wakizama zaidi.08/03/202210:08 -
Ugonjwa wa kisukari kwa watoto na athari zake kwa Jamii
Makala haya yanaangazia ugonjwa wa kisukari miongoni mwa watoto na akina mama waja uzito. Kisukari ni baadhi ya magonjwa yanayochangia asilimia 40 ya vifo vinavyotokea katika hospitali nchini Kenya.26/02/202210:05 -
Hatari za maendeleo ya saratani ya watoto ulimùwenguni
Shirika la afya duniani,WHO linasema watoto elfu moja, 1000 hupata saratani kila siku duniani,na katika mataifa yanayoendelea,asilimia 20 ya watoto wanaopata saratani wanaweza kuishi au kupona.Kusikiliza zaidi makala hii ungana na mwandishi wetu wa maswala ya afya Caroline Korir19/02/202210:09 -
Athari ya njaa kwa afya ya binadamu
Katika Makala haya ,tunaangazia jinsi ambavyo baa la njaa limeathiri afya za raia wengi wa Afrika Mashariki na Pembe ya Afrika.Shirika la misaada la OXFAM linasema kuna zaidi ya watu millioni 15 katika mataifa hayo ambao hawana chakula kutokana na ukame na athari za janga la Corona kwenye chumi za taifa.09/02/202209:47 -
Upatikanaji wa chanjo kupambana na virusi vya Covid 19
Mataifa mbalimbali ya Afrika, yanaendelea kukabiliwa na uhaba wa chanjo, kupambana na virusi vya Covid 19. Nini chanzo cha hali hii ?03/02/202209:40 -
Tatizo la utapiamlo nchini Chad
Makala ya Siha Njema juma hili,yanaangazia hali ya utapiamlo nchini Chad,ikiwa imeorodheshwa na shirika la umoja wa mataifa linashughulikia watoto,UNICEF kuwa miongoni mwa mataifa yenye idadi kubwa ya watoto ,wanawake wajawazito na wanaonyonyesha wanaokabiliwa na maradhi ya utapiamlo.27/01/202210:10
Makala inayojadili kwa kina masuala ya afya, tiba na kutambua magonjwa mbalimbali bila ya kusahau namna ya kukabiliana nayo. Watalaam walibobea kwenye sekta ya afya watakujuvya na kukuelimisha juu ya umuhimu wa kuwa na afya bora na si bora afya. Pia utawasikiliza kwa maneno yao watu ambao wameathirika na magonjwa mbalimbali na walikumbwa na nini hadi kufika hapo walipo.