Pata taarifa kuu
Siha Njema

Hatari za maendeleo ya saratani ya watoto ulimùwenguni

Imechapishwa:

Shirika la afya duniani,WHO linasema watoto elfu moja, 1000 hupata saratani kila siku duniani,na katika mataifa yanayoendelea,asilimia 20 ya watoto wanaopata saratani wanaweza kuishi au kupona.Kusikiliza zaidi makala hii ungana na mwandishi wetu wa maswala ya afya Caroline Korir

Kampeni ya kupinga saratani duniani ilivyofanyika nchini Lebanon mwezi February 2018
Kampeni ya kupinga saratani duniani ilivyofanyika nchini Lebanon mwezi February 2018 ANWAR AMRO AFP
Vipindi vingine
  • 10:14
  • 10:20
  • 08:40
  • 10:25
  • 10:09
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.