Pata taarifa kuu
Siha Njema

Ajali za barabara Afrika huchangiwa na utepetevu, kasi na msongo wa mawazo

Imechapishwa:

Ajali za barabara huchangia vifo vingi vya watu walio katika umri kati ya miaka mitano hadi 29 kwa mujibu wa WHO

Ajali za barabara itakuwa nambari tano katika orodha ya vyanzo vya vifo kufikia mwaka 2030
Ajali za barabara itakuwa nambari tano katika orodha ya vyanzo vya vifo kufikia mwaka 2030 AFP/Guillaume Souvant
Matangazo ya kibiashara

Uchunguzi unaofanywa baada ya ajali huonesha madereva wengi hulaumi kufeli kwa breki ilhali wengi wana msongo wa mawazo ,imesema mamlaka ya usalama barabarani nchini Kenya ,National Transport and Safety Authority.

 

Ongezeko la magari,mchipuko wa miundo mbinu bora na ongezeko la watu yanazidi kufanya uwezekano wa mtu kuhusika kwenye ajali  kuwa mkubwa.

Vipindi vingine
  • 10:09
  • 09:55
  • 09:59
  • 10:23
  • 10:14
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.