Siha Njema
Makala inayojadili kwa kina masuala ya afya, tiba na kutambua magonjwa mbalimbali bila ya kusahau namna ya kukabiliana nayo. Watalaam walibobea kwenye sekta ya afya watakujuvya na kukuelimisha juu ya umuhimu wa kuwa na afya bora na si bora afya. Pia utawasikiliza kwa maneno yao watu ambao wameathirika na magonjwa mbalimbali na walikumbwa na nini hadi kufika hapo walipo.
Soma yanayofuataSikiliza kipindi kilichopita
-
Wanawake wakimbizi eneo la Goma DRC wanakabiliwa na changamoto za kiafya na dhulma za kingono
Wanawake waliokimbia mapigano mashariki mwa DRC ,wamepitia dhulma za kijinsia zaidi ya mara moja ,hata baada ya kuwepo kwenye kambi za wakimbizi19/09/202310:14 -
Je matumizi ya sukari mbadala inafaa?
Mwezi Septemba dunia inapojiunga kuleta hamasa kuhusu afya ya akili,idadi ya vijana wanaojiua bado iko juu. Na watalaam vile vile wanaonya kuhusu sukari mbadala au artificial sweeteners ambazo japo zinadhaniwa kuwa salama ,zina madhara katika viungo vya mwili na utendakazi wa mwili15/09/202309:59 -
Ongezeko kwa maambukizi ya HIV miongoni mwa vijana ni tishio kwa mapambano dhidi ya saratani ya shingo ya uzazi
Ngono zembe miongoni mwa vijana inawaweka wengi kwenye hatari ya kupata HIV na saratani ya shingo ya uzazi29/08/202309:42 -
Soko huru ya sigara za kisasa ni tishio kubwa la afya
Kasi ya watumiaji wa sigara za kisasa kama vile Nicotine Pouches na Sigara ya Kielectroniki imezidi kupanda ,vile vile uraibu miongoni mwa vijana na wanafunzi22/08/202309:57 -
Upandikizaji viungo vya mwili Afrika Mashariki
Kupandikiza au kuhamisha viungo vya mwili kama njia mojawapo ya matibabu inazidi kushika kasi .Mataifa mengi yanafanya upandikizaji wa figo ,moyo ,ini ,Cornea na sehemu za umme.15/08/202310:18 -
Chanjo ya Kipindu Pindu na changamoto za akina mama wanaonyonyesha
Juma la kwanza la Agosti ,ulimwengu huungana kupigia upatu juhudi za akina mama kuweza kuwanyonyesha wanao bila vikwazo katika miezi sita ya kwanza.08/08/202310:15 -
Mataifa ya Afrika yanavyopambana kukabili usugu wa vimelea,Antimicrobial Resistance
Tatizo la usugu wa vimelea ni changamoto kubwa katika sekta ya afya ,watalaam wakihitajika kutumia gharama kubwa kwenye matibabu01/08/202309:42 -
Mlipuko wa Magonjwa yanayohusishwa na wanyama
Mlipuko wa magonjwa yenye asili ya wanyama wa Pori na hata wale wa kufugwa nyumbani umeendelea kushuhudiwa ukanda wa Afrika Mashariki13/07/202309:31 -
Ushirikiano kati ya sekta binafsi na ya umma kuboresha huduma za afya
Mataifa mengi barani Afrika bado yana changamoto ya kuwahakikishia raia wao huduma za kisasa za afya na ambazo haziwagharimu zaidi05/07/202309:59 -
Ugonjwa wa Kipindu Pindu Homabay nchini Kenya
Mataifa mengi barani Afrika yameripoti mlipuko wa Kipindu Pindu29/06/202310:11 -
Ugonjwa wa Matende
Magonjwa yaliyotengwa kama Matende bado yanawapa changamoto nyingi raia wengi22/06/202309:51 -
Juhudi za kupunguza gharama katika matibabu ya macho
Raia wengi nchini Kenya wana uhitaji wa miwani kutokana na matatizo ya macho.Wengi wao hata hivyo hawapati miwani kutokana na gharama ya juu16/06/202309:57 -
Matumizi ya Dawa za Kulevya Sudan Kusini
Watu walioacha kutumia dawa za kulevya nchini Sudan wanasaidia juhudi za kupambana na dawa za kulevya06/06/202309:29 -
Mapambano kupunguza matumizi ya Tumbaku na mchango wa sekta binafsi katika afya
Mataifa ya ulimwengu yanapoadhimisha siku ya Tumbaku Mei 31,kuna hofu juhudi za kupunguza matumizi ya tumbaku zinaonekana kurudishwa nyuma na ukiukaji wa sheria za kupambana na matumizi ya tumbaku31/05/202310:07 -
Kuipa hedhi heshima kama haki ya msingi miongoni mwa wanawake
Umaskini umechangia wasichana wengi kukosa Sodo na kushindwa kwenda shule25/05/202309:28
Makala inayojadili kwa kina masuala ya afya, tiba na kutambua magonjwa mbalimbali bila ya kusahau namna ya kukabiliana nayo. Watalaam walibobea kwenye sekta ya afya watakujuvya na kukuelimisha juu ya umuhimu wa kuwa na afya bora na si bora afya. Pia utawasikiliza kwa maneno yao watu ambao wameathirika na magonjwa mbalimbali na walikumbwa na nini hadi kufika hapo walipo.