Pata taarifa kuu
Siha Njema

Wanawake wakimbizi eneo la Goma DRC wanakabiliwa na changamoto za kiafya na dhulma za kingono

Imechapishwa:

Wanawake waliokimbia mapigano mashariki mwa DRC ,wamepitia dhulma za kijinsia zaidi ya mara moja ,hata baada ya kuwepo kwenye kambi za wakimbizi

Waathiriwa   70 wa dhulma za kingono hutibiwa kila siku kwenye vituo vya afya vya MSF,Goma DRC.
Waathiriwa 70 wa dhulma za kingono hutibiwa kila siku kwenye vituo vya afya vya MSF,Goma DRC. © MSF EAST AFRICA
Matangazo ya kibiashara

Shirika la madaktari wasio na mipaka ,MSF limesema kila siku ,kuna wanawake 70 wanaotibiwa katika vituo vyao kutokana na kukithiri dhulma za kingono.

MSF huwapa huduma za dharura,kupanga uzazi na wengine wanalazimika kupewa huduma za kuavya mimba kwa njia salama.

Hali ya kambi wanazokaa,inawaweka kwenye hatari ya kushambuliwa ,kubakwa huku wengine wakipitia dhulma hizo wanapokwenda nje ya kambi kutafuta mahitaji mengine ya kila siku.

Vipindi vingine
  • 10:14
  • 10:20
  • 08:40
  • 10:25
  • 10:09
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.