Pata taarifa kuu
Siha Njema

Je matumizi ya sukari mbadala inafaa?

Imechapishwa:

Mwezi Septemba dunia inapojiunga kuleta hamasa kuhusu afya ya akili,idadi ya vijana wanaojiua bado iko juu. Na watalaam vile vile wanaonya kuhusu sukari mbadala au artificial sweeteners ambazo japo zinadhaniwa kuwa salama ,zina madhara katika viungo vya mwili na utendakazi wa mwili

Sacheti za sukari mbadala katika duka la jumla
Sacheti za sukari mbadala katika duka la jumla © Jenny Kane / AP
Vipindi vingine
  • 10:20
  • 08:40
  • 10:25
  • 10:09
  • 09:55
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.