Pata taarifa kuu
Siha Njema

Ugonjwa wa Matende

Imechapishwa:

Magonjwa yaliyotengwa kama Matende bado yanawapa changamoto nyingi raia wengi 

Daktari Hussein Gureh Bilal
Daktari Hussein Gureh Bilal © Carol Korir
Matangazo ya kibiashara

Matende au Elephantiasis ni baadhi ya magonjwa yaliyotengwa au kusahaulika ijapokuwa madhara yake ni makubwa.Mara nyingi matibabu yake huwa gharama juu wakati kinga kupitia dawa za minyoo imeendelea kupuuzwa na raia wengi kutokana na dhana kuwa dawa zinazosambazwa bila malipo na serikali si vya viwango vya juu

Vipindi vingine
  • 10:20
  • 08:40
  • 10:25
  • 10:09
  • 09:55
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.