Pata taarifa kuu
Siha Njema

Chanjo ya Kipindu Pindu na changamoto za akina mama wanaonyonyesha

Imechapishwa:

Juma la kwanza la Agosti ,ulimwengu huungana kupigia upatu juhudi za akina mama kuweza kuwanyonyesha wanao bila vikwazo katika miezi sita ya kwanza.

Akina mama wakiwanyonyesha wanao wakati wa kampeni kuunga mkono mazingira rafiki ya kunyonyesha
Akina mama wakiwanyonyesha wanao wakati wa kampeni kuunga mkono mazingira rafiki ya kunyonyesha © REUTERS/Eduardo Munoz
Matangazo ya kibiashara

Katika juhudi za kupambana na Kipindu Pindu ,Kenya inaendelea na kampeni ya kuchoma chanjo dhidi ya Kipindu Pindu chanjo ambayo imeshuhudia uhaba kutokana na uhitaji mkubwa katika mataifa mengi.

Vipindi vingine
  • 10:14
  • 10:20
  • 08:40
  • 10:25
  • 10:09
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.