Pata taarifa kuu
Siha Njema

Soko huru ya sigara za kisasa ni tishio kubwa la afya

Imechapishwa:

Kasi ya watumiaji wa sigara za kisasa kama vile Nicotine Pouches na Sigara ya Kielectroniki imezidi kupanda ,vile vile uraibu miongoni mwa vijana na wanafunzi

Mwanamke anayevuta sigara ya E Cigarette
Mwanamke anayevuta sigara ya E Cigarette AP - Tony Dejak
Matangazo ya kibiashara

Wanaotumia sigara za kisasa wanahoji kuwa hazina moshi au harufu mbaya ,hali ambayo watalaam wanasema inachangia uraibu wa haraka na madhara zaidi kwa viungo vya mwili

Vipindi vingine
  • 10:20
  • 08:40
  • 10:25
  • 10:09
  • 09:55
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.