Pata taarifa kuu
Siha Njema

Juhudi za kupunguza gharama katika matibabu ya macho

Imechapishwa:

Raia wengi nchini Kenya wana uhitaji wa miwani kutokana na matatizo ya macho.Wengi wao hata hivyo hawapati miwani kutokana na gharama ya juu

Miwani hutumika kutatua changamoto za macho
Miwani hutumika kutatua changamoto za macho © Optic 2000
Matangazo ya kibiashara

Katika makala haya tunaangazia mchango wa kampuni ya Mamy Eye Wear kupunguza gharama ya miwani huku ikizingatia ubora.

Vipindi vingine
  • 10:20
  • 08:40
  • 10:25
  • 10:09
  • 09:55
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.