Pata taarifa kuu
Siha Njema

Ushirikiano kati ya sekta binafsi na ya umma kuboresha huduma za afya

Imechapishwa:

Mataifa mengi barani Afrika bado yana changamoto ya kuwahakikishia raia wao huduma za kisasa za afya na ambazo haziwagharimu zaidi

Hospitali ya Kinango ,kaunti ya Kwale
Hospitali ya Kinango ,kaunti ya Kwale © Diana Wanyonyi
Matangazo ya kibiashara

Katika makala haya tunaangazia mjadala wa kushirikisha sekta binafsi kuboresha huduma za afya barani Afrika.Aidha tunaangazia mpango wa kupunguza idadi ya vifo vya watoto walio chini ya umri ya miaka mitano kaunti ya Kwale ,Pwani ya Kenya kwa kuorodhesha habari zao muhimu kwa mfumo wa kidijitali tangu wanapozaliwa

Vipindi vingine
  • 10:20
  • 08:40
  • 10:25
  • 10:09
  • 09:55
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.