Siha Njema
Makala inayojadili kwa kina masuala ya afya, tiba na kutambua magonjwa mbalimbali bila ya kusahau namna ya kukabiliana nayo. Watalaam walibobea kwenye sekta ya afya watakujuvya na kukuelimisha juu ya umuhimu wa kuwa na afya bora na si bora afya. Pia utawasikiliza kwa maneno yao watu ambao wameathirika na magonjwa mbalimbali na walikumbwa na nini hadi kufika hapo walipo.
Soma yanayofuataSikiliza kipindi kilichopita
-
Wadau wa afya wapaza sauti kuhusu ongezeko la magonjwa tengwa wakionya ni tishio katika mifumo ya afya
Wadau katika sekta ya afya wana wasi wasi kuhusu ongezeko la magonjwa yaliyotengwa ambayo mengi yao hayana tiba au matibabu yao hayapatikani kwa urahisi au ni bei juu22/12/202310:20 -
Matumizi ya Akili mnemba au AI kuboresha huduma za Afya
Ulimwengu umeanza kukumbatia matumizi ya akili mnemba au AI kuboresha huduma muhimu licha ya kuwa bado kukamilika mchakato wa kudhibiti matumizi ya teknolojia hiyo.22/12/202310:06 -
Ugonjwa wa Utindio wa Ubongo almaarufu Celebral Palsy
Ugonjwa unaofahamika kama Utindio wa ubongo au Cerebral Palsy kwa lugha ya kimombo ni ugonjwa unaoathiri ubongo, namara nyingi unatokea kwa watoto na husababishwa wakati damu inapovuja kwenye ubongo au hakuna hewa yakutosha.Unaweza kutokea wakati Mtoto anapoanza kupoteza fahamu punde baada ya kuzaliwa au mwezi wa kwanza wa kuzaliwa.Vilevile Jeraha kwenye ubongo linaweza kusababisha matatizo ya kuongea na ugumu wa kufahamu mambo.Sikiliza makala haya kutambua zaidi kuhusu ugonjwa huu.22/12/202310:14 -
Afya ya umma barani Afrika
Kongamano la tatu la CPHIA kuhusu huduma za afya barani Afrika.01/12/202309:07 -
Mpango wa afya kwa wote barani Afrika
Mataifa mengi yana matamanio ya kuhakikisha raia wake wanapata huduma bora za afya kwa bei nafuu,safari hii ikiwa bado ina panda shuka kwa mataifa mengi.21/11/202310:19 -
Faida za mazoezi ya Yoga kwenye mwili wa mwanadamu
Yoga ni mazoezi ya mwili yanayoongeza nguvu kwa misuli na kunyoosha mifupa lakini pia yoga inalenga kuunganisha mwili, ufahamu, na akili kwa pamoja. Hivyo ni tofauti kabisa na aina nyingine za mazoezi.Sikiliza makala haya kwa ufahamu zaidi.16/11/202310:00 -
Ongezeko la visa vya mdomo Sungura
Watalaam wanahofu kuhusu ongezeko la watoto wanaozaliwa na mdomo sungura au Cleft Clip03/11/202309:46 -
Hofu kuhusu hatma ya mchakato wa amani DRC unaoratibiwa na AU
Umoja wa mataifa umeonya uwezekano wa kuibuka vita kati ya DRC na Rwanda25/10/202310:08 -
Mpango wa afya kwa wote nchini Kenya ambapo wafanyikazi watachangia 2.75 ya mishahara
Kenya katika sherehe za hivi karibuni za mashujaa ,imezindua mpango wa afya kwa wote.24/10/202310:18 -
09:04
-
Shirika la madaktari wasio na mpaka lataka wanawake waliodhulumiwa kingono kupata msaada zaidi ya matibabu
Wanawake wakimbizi jijini Goma waliokimbia vita wameathirika afya ya akili na mwili na wanahitaji msaada hata baada ya kupata matibabu.Wengi wamebakwa zaidi ya mara moja wakienda kutafuta chakula na mahitaji mengine10/10/202309:56 -
Wauguzi wanaowahudumia wagonjwa wa saratani walia kubeba mzigo mkubwa unaowaathiri hata afya zao
Idadi ya wagonjwa wanaougua saratani inazidi kupanda kila siku,katika mataifa ya ulimwengu,vile vile idadi ya vifo vinavyosababishwa na saratani26/09/202309:48 -
Wanawake wakimbizi eneo la Goma DRC wanakabiliwa na changamoto za kiafya na dhulma za kingono
Wanawake waliokimbia mapigano mashariki mwa DRC ,wamepitia dhulma za kijinsia zaidi ya mara moja ,hata baada ya kuwepo kwenye kambi za wakimbizi19/09/202310:14 -
Je matumizi ya sukari mbadala inafaa?
Mwezi Septemba dunia inapojiunga kuleta hamasa kuhusu afya ya akili,idadi ya vijana wanaojiua bado iko juu. Na watalaam vile vile wanaonya kuhusu sukari mbadala au artificial sweeteners ambazo japo zinadhaniwa kuwa salama ,zina madhara katika viungo vya mwili na utendakazi wa mwili15/09/202309:59 -
Ongezeko kwa maambukizi ya HIV miongoni mwa vijana ni tishio kwa mapambano dhidi ya saratani ya shingo ya uzazi
Ngono zembe miongoni mwa vijana inawaweka wengi kwenye hatari ya kupata HIV na saratani ya shingo ya uzazi29/08/202309:42
Makala inayojadili kwa kina masuala ya afya, tiba na kutambua magonjwa mbalimbali bila ya kusahau namna ya kukabiliana nayo. Watalaam walibobea kwenye sekta ya afya watakujuvya na kukuelimisha juu ya umuhimu wa kuwa na afya bora na si bora afya. Pia utawasikiliza kwa maneno yao watu ambao wameathirika na magonjwa mbalimbali na walikumbwa na nini hadi kufika hapo walipo.