Pata taarifa kuu
Siha Njema

Mpango wa afya kwa wote nchini Kenya ambapo wafanyikazi watachangia 2.75 ya mishahara

Imechapishwa:

Kenya katika sherehe za hivi karibuni za mashujaa ,imezindua mpango wa afya kwa wote.

Kenya imezindua mpango wa afya kwa wote maarufu UHC
Kenya imezindua mpango wa afya kwa wote maarufu UHC AFP - BRIAN ONGORO
Matangazo ya kibiashara

Mpango huu wa afya unazingatia raia kupata huduma bora kuanzia vituo vya afya vya daraja la kwanza hadi hospitali kubwa bila malipo .

Vipindi vingine
  • 10:20
  • 08:40
  • 10:25
  • 10:09
  • 09:55
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.