Pata taarifa kuu
Siha Njema

Wauguzi wanaowahudumia wagonjwa wa saratani walia kubeba mzigo mkubwa unaowaathiri hata afya zao

Imechapishwa:

Idadi ya wagonjwa wanaougua saratani inazidi kupanda kila siku,katika mataifa ya ulimwengu,vile vile idadi ya vifo vinavyosababishwa na saratani

Wahudumu wa afya wakiwahudumia wagonjwa katika hsopitali ya  Bwaila nchini Malawi
Wahudumu wa afya wakiwahudumia wagonjwa katika hsopitali ya Bwaila nchini Malawi AP - Thoko Chikondi
Matangazo ya kibiashara

Wauguzi wanaowahudumia wagonjwa hao hulazimika kutembea na mgonjwa ambaye mara nyingi huwa na maumivu makali , kudhurika wakati wa matibabu ,wengine kufariki na inapotokea ,muuguzi ndiye anayehitajiwa kuwashughulikia pia familia zao.

Vipindi vingine
  • 08:40
  • 10:25
  • 10:09
  • 09:55
  • 09:59
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.