Pata taarifa kuu
Siha Njema

Faida za mazoezi ya Yoga kwenye mwili wa mwanadamu

Imechapishwa:

Yoga ni mazoezi ya mwili yanayoongeza nguvu kwa misuli na kunyoosha  mifupa lakini pia yoga inalenga kuunganisha mwili, ufahamu, na akili kwa pamoja. Hivyo ni tofauti kabisa na aina nyingine za mazoezi.Sikiliza makala haya kwa ufahamu zaidi.

Annet Thomas ni mwalimu wa mazoezi ya Yoga jijini Arusha nchini Tanzania  na ana imani kuwa mazoezi haya yana faida sana kwenye mwili wa mwanadamu na hasaa kwa wanawake.
Mazoezi ya Yoga na Umuhimu wake kwenye mwili wa mwanadamu © rfi
Vipindi vingine
  • 10:14
  • 10:20
  • 08:40
  • 10:25
  • 10:09
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.