Pata taarifa kuu
Siha Njema

Ugonjwa wa Utindio wa Ubongo almaarufu Celebral Palsy

Imechapishwa:

Ugonjwa unaofahamika kama Utindio wa ubongo au Cerebral Palsy kwa lugha ya kimombo ni ugonjwa unaoathiri ubongo, namara nyingi  unatokea kwa watoto na husababishwa wakati damu inapovuja kwenye ubongo au hakuna hewa yakutosha.Unaweza kutokea wakati Mtoto anapoanza kupoteza fahamu punde baada ya kuzaliwa au mwezi wa kwanza wa kuzaliwa.Vilevile Jeraha kwenye ubongo linaweza kusababisha matatizo ya kuongea na ugumu wa kufahamu mambo.Sikiliza makala haya kutambua zaidi kuhusu ugonjwa huu.

Utindio wa Ubongo unawashika sana watoto walioko chini ya umri wa miaka 5
Utindio wa Ubongo unawashika sana watoto walioko chini ya umri wa miaka 5 © @reuters
Vipindi vingine
  • 10:25
  • 10:09
  • 09:55
  • 09:59
  • 10:23
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.