Pata taarifa kuu
Siha Njema

Shirika la madaktari wasio na mpaka lataka wanawake waliodhulumiwa kingono kupata msaada zaidi ya matibabu

Imechapishwa:

Wanawake wakimbizi jijini Goma waliokimbia vita wameathirika afya ya akili na mwili na wanahitaji msaada hata baada ya kupata matibabu.Wengi wamebakwa zaidi ya mara moja wakienda kutafuta chakula na mahitaji mengine

Wakimbizi nchini DRC
Wakimbizi nchini DRC UNHCR / P. Taggart
Vipindi vingine
  • 08:40
  • 10:25
  • 10:09
  • 09:55
  • 09:59
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.