Pata taarifa kuu
Siha Njema

Afya ya kinywa na tabia za kuzingatia kuchochea afya ya kinywa

Imechapishwa:

Afya ya kinywa ni muhumi ilivyo afya ya sehemu zingine za mwili.

Daktari David Amenya kwenye mahojiano ukumbi wa Alliance Francaise Nairobi
Daktari David Amenya kwenye mahojiano ukumbi wa Alliance Francaise Nairobi © RFI Kiswahili
Matangazo ya kibiashara

Katika makala haya ,tunakupa ufahamu zaidi kuhusu afya ya kinywa ;usafi wa meno,ulimi  na ufizi .Daktari David Amenya anaelezea namna ya kupiga mswaki,mswaki sahihi,matibabu ya meno miongoni mwa maswala mengine.

Vipindi vingine
  • 10:20
  • 08:40
  • 10:25
  • 10:09
  • 09:55
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.