Pata taarifa kuu
Siha Njema

Ugonjwa wa Marburg unavyosambaa Afrika na mapambano ya TB nchini Kenya

Imechapishwa:

Mataifa zaidi barani Afrika yameripoti  virusi vya Marburg . Na kwenye mapambano ya TB nchini Kenya,ingawaje bado kuna idadi kubwa ya TB Sugu ,teknolojia mpya ya Gene expert iliyoboreshwa imeendelea kuchangia ubainishaji wa haraka

Peter Muchui balozi balozi wa kupambana na TB nchini Kenya kwenye mahojiano na Carol Korir katika ukumbi wa Alliance Francaise
Peter Muchui balozi balozi wa kupambana na TB nchini Kenya kwenye mahojiano na Carol Korir katika ukumbi wa Alliance Francaise © RFI Kiswahili
Matangazo ya kibiashara

Equitoria Guinea imeripoti vifo 8 vinavyohusishwa na ugonjwa wa Marburg,huku Tanzania ikiwa imeripoti vifo vya watu watano.

Na kwenye mapambano ya TB nchini Kenya Michael Macharia mshauri wa kiufundi katika kanisa katoliki na pia Peter Muchui shujaa wa kupambana na TB wameeleza kuna hatua nyingi ambazo Kenya imepiga kuelekea mwaka wa 2030 ambapo mataifa yanatazamiwa yawe yameelekea kuushinda ugonjwa huo

Vipindi vingine
  • 10:20
  • 08:40
  • 10:25
  • 10:09
  • 09:55
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.