Pata taarifa kuu
Siha Njema

Ongezeko la akina mama wanaochagua kujifungua kwa njia ya upasuaji nchini Kenya

Imechapishwa:

 Idadi ya  Wanawake  nchini Kenya wanaojifungua hospitalini imeongezeka ingawaje idadi kubwa pia wanachagua njia ya upasuaji

Mama mja mzito
Mama mja mzito © ANTHONY WALLACE/AFP
Matangazo ya kibiashara

Licha ya gharama kubwa ya kujifungua kwa njia ya upasuaji,wanawake wengi nchini Kenya wanachagua njia hiyo na kupuzia hatari ambazo huwakumba wengi wanaotumia njia hiyo.

Vipindi vingine
  • 10:20
  • 08:40
  • 10:25
  • 10:09
  • 09:55
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.