Pata taarifa kuu
Siha Njema

Vipimo vya DNA vinavyofanyika nyumbani

Imechapishwa:

Utata kuhusu unasaba umekuwa ndiyo sababu ya watu wengi kutaka kufanya vipimo vya DNA ambavyo huwa ghali na kuhitaji umakini mkubwa.

Vifaa vya kupima DNA
Vifaa vya kupima DNA © @Twitter
Matangazo ya kibiashara

Ugunduzi wa vifaa vya kupimia  vipimo vya vinasaba au DNA nyumbani umeendelea kuibua mjadala kwenye mitandao ya kijamii kuhusu maswala ya uhalisia wa vipimo hivyo na pia maadili ya kuzingatiwa katika vipimo hivyo.Daktari Yusuf Mahat anayehudumu katika hopsitali ya rufaa ya Nakura,nchini Kenya,anaeleza yote unayohitaji kufahamu kuhusu vipimo hivyo.

Vipindi vingine
  • 10:20
  • 08:40
  • 10:25
  • 10:09
  • 09:55
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.