Pata taarifa kuu
Siha Njema

Mpango wa Car Free jijini Kigali unaolenga kuboresha afya na usafi wa jiji

Imechapishwa:

Kila Jumapili ya kwanza ya kila mwezi na ya tatu wakazi wa Kigali hujumuika kufanya mazoezi ya pamoja

Raia jijini Kigali wafanya mazoezi nje ya jumba la mkutano wa KICC
Raia jijini Kigali wafanya mazoezi nje ya jumba la mkutano wa KICC © Carol Korir
Matangazo ya kibiashara

Car Free jijini Kigali imezidi kupata umaarufu,raia wanajumuika kufanya mazoezi pamoja na kuja pamoja kama jamii,huku wakifurahia  mandhari ya mji huo ,usafi na mpangilio mzuri.Watalaam wa afya wanasema kuwa kuondoa pia magari barabarani husaidi kupunguza uchafuzi wa hewa kaa na kuwapa wananchi nafasi ya kuvuta hewa safi. Kwenye makala haya tunakupa mengi zaidi kuhusu mkakati wa Car Free.

Vipindi vingine
  • 10:20
  • 08:40
  • 10:25
  • 10:09
  • 09:55
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.