Afrika Ya Mashariki
Kwenye makala ya Afrika ya Mashariki unahabarika na kuelimika juu ya changamoto za maisha ya wananchi wa Afrika Mashariki na eneo zima la maziwa makuu. Usipitwe na Makala ya Afrika ya Mashariki kwani unapata nafasi ya kutoa mawazo yako na kusikiliza wataalamu mbalimbali watakaokuwezesha kubadili fikra na kufikia maendeleo endelevu.
Soma yanayofuataSikiliza kipindi kilichopita
Vipindi vyote
-
Mila, utamaduni wa watu visiwani Zanzibar
Wiki hii tunaangazia kuhusu utamaduni, mila na desturi kwa wenyeji wa Visiwa vya Zanzibar. Ungana nasi upate mengi zaidi.14/04/202109:56 -
Mchezo wa gonga kwenye fukwe za visiwani Zanzibar
Leo tunaangazia juu ya Mchezo wa Mpira wa Gonga huko Unguja, Zanzibar. Kwa mjibu wa wenyeji niliokuta wakicheza mpira wa Gonga pale Kizingo Beach, Unguja, wameeleza kuwa mpira wa Gonga una asili yake kwenye visiwa vya Brazil, Amerika ya Kusini.07/04/202109:56 -
Mchezo wa soka unaochezwa ufukweni nchini Burundi
Leo tunaangazia mchezo wa mpira wa ufukweni huko nchini Burundi. Mchezo huu sio maarufu sana kwa baadhi ya watu ukilinganisha na mpira wa miguu au mpira wa kikapu. Huko Burundi mpira wa ufukweni umeanza miaka 13 iliyopita.30/03/202109:56 -
Changamoto za usafiri wa majini kwenye Ziwa Victoria nchini Tanzania
Leo tunaangazia changomoto za usafiri wa majini katika Ziwa Victoria nchini Tanzania. Utawasikia abiria wakizungumizia hili.24/03/202109:28 -
Namna vijana nchini Tanzania wanavyojipatia kipato kupitia ujasiriliamali
Leo tunaangazia juu ya fursa na ajira kwa vijana nchini Tanzania. Utawasikia vijana wa huko wilayani Rorya mkoani Mara kaskazini-magharibi mwa Tanzania jirani kabisa na mpaka wa Kenya. Kama utakavosikia kwenye mazungumzo yetu, vijana hao wanabainisha ni jinsi gani wameamua kubuni jinsi ya kujipatia kipato kwa njia ya burudani.16/03/202109:58 -
Uhaba wa dagaa katika Ziwa Tanganyika
Julian Rubavu anaangazia juu ya uhaba wa dagaa wapatikana katika ziwaTanganyika hukoKigoma, Tanzania.Wenyeji wanasema kuwa dagaa wa Kigomani watamu saana, lakini pia gharama za kuwavua dagaa hao ni kubwa sanaambapo mvuvi anatumia zaidi ya shilingi laki moja na elfu ishirini(120,000). Wenyeji wanasema kuwa sababu nyingine ni zana duni zauvuvi.10/03/202109:55 -
Tamaduni za raia wa mwambao wa ziwa Tanganyika.
Katika makala haya mwanahabari Juliani Rubavu amezuru mwambao wa ziwa Tanyingika, katika kijiji na Ujiji, na kutangamana na wenyeji ambapo ameangazia kwa kina shughuli zao za kila siku.03/03/202109:56 -
Watalaamu kutoka mataifa ya Afrika Mashariki wahimizwa kusalia katika nchi zao
Katika makala ya juma hili ya Afrika Mashariki, mawanahabari wetu Juliani Rubavu anaangazia hutua ya mataifa ya Afrika mashariki kuwashauri wataalamu wao kutoondoka katika mataifa hayo kutafuta kipato katika mataifa mengine kwa lengo la kuchangia kuimarika kwa uchumi katika mataifa yao.26/02/202109:26 -
Kuzinduliwa rasmi kwa Elimu ya Juu katika nchi wanachama za Jumuiya ya Afrika Mashariki
Leo tunaangazia makubaliano ya viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki waliokutana hivi karibuni jijini Dar es salaam nchini Tanzania na kuidhinisha rasmi Elimu ya juu ya pamoja ndani ya nchi wanachama. Hii inamaanisha nini ? Karibu sana.25/05/201709:37 -
Vitendo viovu vya ulaji nyama ya binadamu nchini Uganda
Makala ya kwanza kabisa mwaka huu wa 2017 tunaanzia nchini Ugandaambapo tutaangazia vitendo viovu vya ulaji nyama ya binadamu.Kusini mwa Uganda kwenye wilaya za Rakai, Kyotera na nyinginezo watuwanakamatwa, wanachinjwa na kuliwa nyama na binadamu wenzao.11/01/201709:37 -
Hofu kwenye familia zenye walemavu wa ngozi
Makala haya ya Afrika ya Mashariki inaangazia juu ya hofu kwa familia zenye watu wenye ulemavu wa ngozi na jamii inayowazunguka magharibi mwa Tanzania.31/03/201509:24 -
Changamoto za kiuchumi na maendeleo kwenye ukanda wa afrika ya mashariki
Makala haya ya Afrika ya Mashariki inaangazia juu ya changamoto za kiuchumi na maendeleo kwenye ukanda wa afrika ya mashariki. Katika makala haya watasikika baadhi ya raia wa Tanzania waishio maeneo ya mpakani, na pia mahojiano na waziri wa Tanzania kwenye jumuiya ya afrika ya mashariki Dr Harrison Mwakyembe akiangazia baadhi ya changamoto kwenye miradi ya kikanda inayoshirikisha jumuiya ya afrika ya mashariki.24/03/201509:32 -
Malbino walengwa Tanzania
Makala haya ya Afrika ya Mashariki yanaangazia juu ya changamoto za mauaji ya walemavu wa ngozi (Albino), ambayo yamekithiri katika kanda ya ziwa Magharibi mwa Tanzania.12/03/201509:41 -
Umuhimu wa elimu kwa waumini wa dini ya kiislam
Makala hii ya Afrika ya Mashariki inaangazia juu ya umuhimu wa elimu kwa waumini wa dini ya kiislamu katika ukanda wa Afrika ya mashariki.27/02/201509:26 -
Maendeleo ya kijamii katika kijiji cha Kogelo (sehemu ya pili)
Makala hii ya Afrika ya Mashariki inaangazia sehemu ya pili kuhusu maendeleo ya kijamii katika kijiji cha Kogelo, kaunti ya Siaya magharibi mwa Kenya, alipozaliwa baba yake Barack Obama, rais wa Marekani. Utamsikia bibi Sarah Onyango Obama, mama mzazi wa baba wa rais wa Marekani Barack Obama, anazungumziaje kuhusu chimbuko la kiongozi huyo wa Marekani.17/02/201509:19
Afrika Ya Mashariki
Kwenye makala ya Afrika ya Mashariki unahabarika na kuelimika juu ya changamoto za maisha ya wananchi wa Afrika Mashariki na eneo zima la maziwa makuu. Usipitwe na Makala ya Afrika ya Mashariki kwani unapata nafasi ya kutoa mawazo yako na kusikiliza wataalamu mbalimbali watakaokuwezesha kubadili fikra na kufikia maendeleo endelevu.