Afrika Ya Mashariki
Kwenye makala ya Afrika ya Mashariki unahabarika na kuelimika juu ya changamoto za maisha ya wananchi wa Afrika Mashariki na eneo zima la maziwa makuu. Usipitwe na Makala ya Afrika ya Mashariki kwani unapata nafasi ya kutoa mawazo yako na kusikiliza wataalamu mbalimbali watakaokuwezesha kubadili fikra na kufikia maendeleo endelevu.
Soma yanayofuataSikiliza kipindi kilichopita
Vipindi vyote
-
Sekta ya habari Tanzania
Makala hii ya Afrika ya Mashariki inaangazia juu yasekta ya habari nchini Tanzania. Ambapo sheria ya habari ya mwaka 1976 inadaiwa kuwa kandamizi kwa vyombo vya habari. Serikali inateteasheria hiyo. Na jamii inapinga.06/05/201409:29 -
Sheria ya Uchaguzi nchini Burundi
Makala haya ya Afrika Mashariki inaangazia juu ya mswaada wa sheria za uchaguzi nchini Burundi mwaka ujao wa 2015. Bunge la Burundi limeondoa pendekezo laserikali iliyotaka kila mgombea kuwa na shahada ya chuo kikuu.29/04/201409:25 -
Mvutano kati ya wabunge wa Bunge maalum la katiba
Kwenye makala ya afrika ya mashariki leo tunaangazia juu ya viongoziwa dini kukemea wajumbe wa bunge maalumu la katiba nchini Tanzaniakuhusu mwenendo wao wa kutia mbele malumbana badala ya mijadala ya hoja zenyemaslahi kwa watanzania.22/04/201409:34 -
Agizo la serikali ya Tanzania kuhusu mkaa
Makala ya afrika ya mashariki yanaangazia juu ya agizo laserikali ya Tanzania kuzuia uchomaji mkaa, usafirishaji mkaa tokamkoa hadi mwingine, na hata usafirishaji wa mkaa nje ya nchi.15/04/201409:29 -
Miundombinu Tanzania
Makala haya ya “Afrika ya Mashariki” inaangazia kuhusu chanagamoto kwenye sekta ya miundombinu nchini Tanzania, ikiwa ni moja ya sekta iliyopewa kipaumbele.Ungana na Julian Rubavu......................................................01/04/201409:28 -
Juhudi za marais wa kanda ya Afrika ya mshariki za kuimarisha amani
Kwenye makala ya Afrika ya Mashariki, leo tunaangazia juu ya juhudi zaviongozi wa ukanda wa maziwa makuu wanavyojadili namna ya kuimarishaamani kwenye nchi zilizokumbwa na machafuko ya wenyewe kwa wenyewe.Mtayarishaji ni Julian Rubavu......................................................................25/03/201409:01 -
Changamoto za uhuru wa kusafiri na usafirishaji
Kwenye makala ya afrika ya mashariki juma hili tunaangazia juu yachangamoto za uhuru wa kusafiri na usafirishaji, usalaama duni kwamadereva, vitendo vya rushwa barabarani, viwango tofauti vya ushuruwa forodha kutofautiana kinyume na ilivyokubaliwa ndani ya jumuiyahiyo.Ungana na Juliana Rubavu...................18/03/201409:21 -
Tofauti za ushuru na bei za bidhaa nchini Kenya na Tanzania
Kwenye makala ya “Afrika ya Mashariki”, juma hili tunaangazia juu yatofauti za ushuru na bei za bidhaa ambapo nchi za Kenya na Tanzaniazenye bandari baharini, bidhaa zake zinakuwa juu zaidi kuliko nchizilizo mbali na bahari. Ungana na Julian Rubavu...................11/03/201409:26 -
Makala ya Afrika mashariki
Ungana na Julian Rubavu katika makala haya ya Afrika Mashariki05/03/201409:25 -
Mpango wa serikali ya Tanzania wa kurekebisha mipaka yake
Makala haya “Afrika ya Mashariki”, yanaangazia juu ya mpango wa serikali ya Tanzania ya kurekebisha mipaka yake ya kimataifa na majirani zake.Ungana na Julian Rubavu........................25/02/201409:25 -
Jamii ya Banyamulenge (sehemu ya 3 na ya mwisho)
Makala haya ya "Afrika ya Mashariki" yanaangazia sehemu ya tatu na yamwisho juu ya changamoto za kisiasa na kijamii kwenye ukanda wa maziwamakuu ikilengwa jamii ya Banyamulenge raia wa Congo DRC. Kwenye sehemuya tatu sikiliza mazungumzo yetu na mtafiti wa maisha yajamii ya Banyamulenge. Pia utasikia serikali ya Burundi na chama chaFNL wote wakizungumzia juu ya Banyamulenge.Ungana na Juliana Rubavu.............18/02/201409:30 -
Jamii ya Banyamulenge
Makala haya “Afrika ya Mashariki”, yanaangazia juu ya jamii ya Banyamulenge, m'moja kati ya jamii ao makabila ya raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kuhusu maisha yao kijamii na jamii zingine, na jinsi walijikuta wameyahama makaazi yao na kukimbilia katika nchi jirani.Ungana na Julian Rubavu.........................11/02/201408:20 -
Jamii ya Banyamulenge
Makala haya “Afrika ya Mashariki”, yanaangazia juu ya changa moto za siasa na kijamii katika ukanda wa maziwa makuu, sehemu hii ya kwanza “Afrika Mashariki”, yanaangazia juu ya sababu za raia wa Congo kutoka jamii ya Banyamulenge kwa miaka mingi kukabiliwa na changa moto ya kutoaminiwa na raia kutoka jamii zingine nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Ungana na Julian Rubavu.........................04/02/201409:21 -
Mustakabali wa Kisiasa
Makala haya “ Afrika ya Mashariki”, yanaangazia juu ya mustakabali wa kisiasa, hasa maadili ya viongozi na maafisa umma nchini Tanzania. Kabla na baada ya ukoloni.Ungana na Juliana Rubavu.........28/01/201409:31 -
Utoro shuleni sehemu ya 3
Makala haya ya” Afrika Mashariki”,yanaagazia kuhusu utekelezaji wa mpango wa serikali wa matokeo makubwa sasa katika seka ya elimu, hii ni sehemu ya 3.Ungana na Julian Rubavu...........21/01/201409:29
Afrika Ya Mashariki
Kwenye makala ya Afrika ya Mashariki unahabarika na kuelimika juu ya changamoto za maisha ya wananchi wa Afrika Mashariki na eneo zima la maziwa makuu. Usipitwe na Makala ya Afrika ya Mashariki kwani unapata nafasi ya kutoa mawazo yako na kusikiliza wataalamu mbalimbali watakaokuwezesha kubadili fikra na kufikia maendeleo endelevu.