Afrika Ya Mashariki
Kwenye makala ya Afrika ya Mashariki unahabarika na kuelimika juu ya changamoto za maisha ya wananchi wa Afrika Mashariki na eneo zima la maziwa makuu. Usipitwe na Makala ya Afrika ya Mashariki kwani unapata nafasi ya kutoa mawazo yako na kusikiliza wataalamu mbalimbali watakaokuwezesha kubadili fikra na kufikia maendeleo endelevu.
Soma yanayofuataSikiliza kipindi kilichopita
Vipindi vyote
-
Juhudi za kupambana na uchafuzi wa Ziwa Victoria kaskazini Magharibi mwa Tanzania
Mwandishi wetu Martin Nyoni ameandaa Makala ya haya akiwa mjini Mwanza14/06/202309:59 -
Ndoa za utotoni zinavyo sababisha fistula Afrika Mashariki
Ndoa za utotoni zinatajwa kusababisha athari kwa watoto wa kike kisaikolojia, kiafya, kiuchumi na hata Kwenda mbali zaidi kusabisha athari za afya31/05/202309:58 -
Wafugaji wanavyo changia kuharibu mazingira
Makala ya wiki hii yanaangazia jinsi wafugaji wanavyochangia katika uharibifu wa mazingira mjini Iringa Tanzania24/05/202309:59 -
Vijana na Ubunifu mkoani Mwanza nchini Tanzania
Vijana wengi huchangia katika nguvu kazi ya kitaifa kama njia moja ya kuboresha na kuimarisha uchumi wa kitaifa.18/05/202309:59 -
Vijana na muziki wa Injili nchini Tanzania
Katika ukanda wa Afrika mashariki muziki wa kizazi kipya ndio wenye kubamba kutoka pembe mbalimbali nchini Tanzania ukiitwa Bongo fleva ukiwa na maadhi tofauti tofauti kama ilivyo kwa muziki wa genge nchini Kenya12/05/202309:59 -
09:53
-
Ndondi kwa Wanawake nchini Tanzania
Wakati mchezo wa masumbwi ukizidi kukua kwa kasi katika nchi za afrika mashariki, nchini Tanzania kufanya vizuri kwa mabondia kadhaa wakizazi kipya kama vile Hassan Mwakinyo,Kkarim Mandonga, Twaha Kiduku na wengine kadhalika kumezidi kusisimua wasichana na wanawake kuanza kujikita katika mchezo huu…20/04/202309:59 -
Utunzaji wa vyanzo vya maji
Leo katika makala ya Afrika Mashariki tunajikita kuangazia namna ambavyo utunzi wa vyanzo vya maji ni muhimu katika jamii haswa kuzuia uharibifu wa mazingirza na uchafuzi wa bahari.29/03/202309:58 -
Wavumbuzi wa sayansi Afrika Mashariki
Ndoto za wavumbuzi waki sayansi kutoka nchini Tanzania kama walivyo wengine kutoka nchini za ukanda wa Afrika mashari kwa ujumla ni kuhakikisha kuwa wanazalisha au kuvumbua vifaa ambavyo vinautambulisho wa mataifa yao15/03/202309:41 -
Vijana na Ufundi wa vyombo vya moto
Makala ya Afrika mashariki wiki hii yanaangazia vijana walio jitupa katika kazi ya ufundi wakutengeneza vyombo vya moto nchini Tanzania ni nini sababu ya wao kuingia katika kazi hii ya yapi matarajio yao kwa siku za usoni .10/03/202309:27 -
Rais Samia aruhusu vyama vya upinzani kufanya mikutano ya siasa
Karibu katika Makala ya Afrika mashariki hii leo tuna tuama nchini Tanzania kuangaza na kulika kuanza tena kwa mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa nchini humo nini matarajio na mapokeo ya wafuatilizi wa maswala ya siasa katika taifa hili lililo shuhudia ukimya wa miaka saba yakutofanyika kwa mikutano ya hadhara mwandalizi na msimulizi wa makala haya naitwa Martin Nyoni nasema karibu jamvini tuwe sote hadi tamati .22/02/202309:52 -
Nini hatima ya mzozo wa utovu wa usalama Mashariki mwa DRC ?
Tunaangaza na kumulika kuzidi kushadidi kwa mgogoro katika eneo la Mashariki mwa DRC nini kifanyike ili kupatikana kwa suluhu ya kudumu katika taifa hilo ambalo linaifanya Jumuiya ya Afrika mashariki kuwa soko kumbwa la huduma na bidhaa Mwandalizi na msimulizi wa makala ni Martin Nyoni18/01/202309:55 -
Changamoto za wagonjwa wa ukoma nchini Tanzania
Tunaangazia juu ya kituo cha wagonjwa wa ukoma na vikongwe kilichoko Kolandoto, mkoani Shinyanga, Tanzania. RFI imefika kituo cha Kolandoto ambapo kituo hicho kilichojengwa mwaka 1914 maalumu kwa wagonjwa wa Ukoma, leo hii kituo hicho kimegeuka kimbilio la vikongwe wanaotuhumiwa kwa uchawi ili wasiuawe na jamii inayowazunguka.25/01/202209:44 -
Changamoto za usalama barabarani nchini Tanzania
Leo tunaangazia juu ya changamoto za usalama barabarani nchini Tanzania. Kwa namna ya pekee utawasikia wadau mbalimbali wa vyombo vya moto huko mkoani kagera wakiangazia changamoto walizonazo ikiwezo ukosefu wa mafunzo ya utambuzi wa alama za barabarani lakini pia kutojua sheria za barabarani kwa madereva na abiria.18/01/202209:54
Afrika Ya Mashariki
Kwenye makala ya Afrika ya Mashariki unahabarika na kuelimika juu ya changamoto za maisha ya wananchi wa Afrika Mashariki na eneo zima la maziwa makuu. Usipitwe na Makala ya Afrika ya Mashariki kwani unapata nafasi ya kutoa mawazo yako na kusikiliza wataalamu mbalimbali watakaokuwezesha kubadili fikra na kufikia maendeleo endelevu.