Pata taarifa kuu
Afrika Ya Mashariki

Nini hatima ya mzozo wa utovu wa usalama Mashariki mwa DRC ?

Imechapishwa:

Tunaangaza na kumulika kuzidi kushadidi kwa mgogoro katika eneo la Mashariki mwa DRC nini kifanyike ili kupatikana kwa suluhu ya kudumu katika taifa hilo ambalo linaifanya Jumuiya ya Afrika mashariki kuwa soko kumbwa la huduma na bidhaa Mwandalizi na msimulizi wa makala ni Martin Nyoni

Wanajeshi wa Kenya na DRC wakipiga doria jimboni Kivu Kaskazini, Novemba 15 2022.
Wanajeshi wa Kenya na DRC wakipiga doria jimboni Kivu Kaskazini, Novemba 15 2022. AFP - ALEXIS HUGUET
Vipindi vingine
  • 09:59
  • 09:59
  • 09:59
  • 09:59
  • 09:59
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.