Pata taarifa kuu
Afrika Ya Mashariki

Fursa za uchumi wa buluu zilizopo katika  Ziwa Victoria

Imechapishwa:

Uchumi wa Buluu ni dhana pana yenye kubeba maana nzima ya kutumia kila rasilimali itokanayo na rasilimali maji kama Bahari, mito na maziwa.

Ziwa Victoria.
Ziwa Victoria. © Martin Nyoni
Matangazo ya kibiashara

Dhana hii ubeba shuguli mbalimbli ikiwemo utalii, uvuvi, kilimo cha mwani, bandari pamoja na mafuta na gesi zilizomo baharini au katika maziwa.

Kwa wakazi wa Jumuiya ya Afrika mashariki hasa katika mikoa inayo zunguka Ziwa.

Ziwa Victoria ni moja ya maeneo yanayo tupiwa macho katika kukuza Uchumi wa Buluu kwa wakazi wanao lizunguka ziwa hili.
Ziwa Victoria ni moja ya maeneo yanayo tupiwa macho katika kukuza Uchumi wa Buluu kwa wakazi wanao lizunguka ziwa hili. © Martin Nyoni

Victoria kwa siku za usoni wanachangamkua fursa za uchumi wa buluu uliopo katika maeneo yao.

Dhana hii inatafsiriwa kwa kasi kwa siku za usoni na imekuwa ikitajwa kama ndio mharobaini wakuwanusua wananchi walio wengi kutoa katika mnyonyoro wa umasikini uliotopea.

Vipindi vingine
  • 09:59
  • 09:59
  • 09:59
  • 09:59
  • 09:58
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.