Pata taarifa kuu
Afrika Ya Mashariki

Sehemu ya pili: Mradi wa kilimo unaofadhiliwa na AFD mjini Arusha

Imechapishwa:

Mradi wa kilimo endelevu unatanua mbawa zake sio tu katika kilimo bali pia kuwajengea uwezo wakulima kufanya shuguli za ufugaji.

Baadhi ya wanachama wa kikundi cha Mtandao wa vikundi vya wakulima kijiji cha Ekenywa wakifurahia moja ya miradi inayofadhiliwa na AFD.
Baadhi ya wanachama wa kikundi cha Mtandao wa vikundi vya wakulima kijiji cha Ekenywa wakifurahia moja ya miradi inayofadhiliwa na AFD. © Martin Nyoni
Matangazo ya kibiashara

Mradi huu unatekelezwa kwa ufadhiri wa shirika la maendeleo la Ufaransa AFD katika mkoa wa Arusha nchini Tanzania unakwenda mbali zaidi hadi kuwafikia wanamazingira.

Mafuzo wanayopata wanasema yamekuwa chachu yakubadili Maisha yao kwani sasa wanamudu vyema kuwapatia Watoto wao elimu bora

Vipindi vingine
  • 09:59
  • 09:59
  • 09:59
  • 09:59
  • 09:58
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.