Afrika Ya Mashariki
Kwenye makala ya Afrika ya Mashariki unahabarika na kuelimika juu ya changamoto za maisha ya wananchi wa Afrika Mashariki na eneo zima la maziwa makuu. Usipitwe na Makala ya Afrika ya Mashariki kwani unapata nafasi ya kutoa mawazo yako na kusikiliza wataalamu mbalimbali watakaokuwezesha kubadili fikra na kufikia maendeleo endelevu.
Soma yanayofuataSikiliza kipindi kilichopita
Vipindi vyote
-
Wanawake katika sanaa ya uchoraji nchini Tanzania
Makala ya wiki hii yanaangazia namna wanawake nchini Tanzania wamegeukia sanaa hii ya uchoraji.09/11/202309:59 -
Uelewa wa wananchi wa Mwanza kuhusu mvua za El Nino
Baadhi ya mataifa ya Afrika Mashariki yameendelea kufanya maandalizi kuelekea mvua za El Nino.01/11/202309:59 -
Nishati inachangia asilimia kubwa kwa ukuaji wa Uchumi wa mataifa
Sekta ya Nishati ndiyo mhimili muhimu wa maendeleo ya taifa lolote lile, Mathalan takwimu zinaonesha, mahitaji ya juu ya umeme yameongezeka ambapo serikali ya Tanzania inasema kuwa muelekeo ni kuongeza katika Gridi ya Taifa MW 218.67 na kufikia MW 1,913.22 ifikapo mwishoni mwa mwaka 2022/23.28/10/202309:56 -
Biashara ya samaki na dagaa jijini Mwanza nchini Tanzania.
Makala ya wiki yanaangazia namna wanawake waendeleza biashara ya samaki nchini Tanzania18/10/202309:59 -
Tanzania: Jamii zinavyo shiriki katika utunzaji wa hifadhi ya Ruaha
Jamii zinavyo shiriki katika utunzaji wa hifadhi ya Ruaha11/10/202309:58 -
Juhudi za kusambaza umeme nchini Tanzania
Zaidi ya watu milioni mia tano kusini mwa jangwa la sahara wanakabiliwa na tatizo la umeme.22/09/202309:59 -
Nafasi ya muungano wa BRICS kwa mataifa ya Afrika
Viongozi wa kundi la mataifa ya BRICS - Brazil, Russia, India, China na Afrika Kusini hvi karibuni wamekutana mjini Johannesburg nchini Afrika kusini na ajenda muhimu mezani ikiwa ni kukubali ombi la kuongeza wanachama wapya ndani ya muungano huo. Tunaangazia mkutano huu wiki hii.29/08/202309:59 -
Vijana na ushiriki wa fursa ndani ya Afrika mashariki
Namna Jumuiya ya Afrika Mashariki inawapa vijana nafasi na fursa za kujiendeleza kimandeleo.16/08/202309:59 -
Juhudi za muungano wa makabila kusaka amani DRC
Ukabila umetajwa kuwa mojawapo ya mambo yanayochangia katika utovu wa usalama nchini DRC10/08/202309:59 -
Mgogoro wa Kenya na athari kwa uchumi Afrika
Makala ya wiki yanaangazia athari za kiuchumi zinazotokana na maandamano ya kupinga kupanda kwa gharama ya maisha nchini Kenya kwa bara Afrika29/07/202309:49 -
Matumizi ya dawa za kulevya yanavyokatiza ndoto za vijana
Idadi ya vijana wamepoteza ajira na hata familia zao kutokana na athari za matumizi ya dawa za kulevya.19/07/202309:59 -
Bakteria wanao shambulia mpunga nchini Tanzania
Baadhi ya wakulima wa mpunga tayari wanaiipa bakteria hiyo jina la Uviko wa mchele14/07/202309:58 -
Uelewa wa wakazi wa Jiji la Mwanza juu ya matumizi ya sarafu moja
Mwandishi wa Martin Nyoni amezungumza na wakazi wa Mwanza nchini Tanzania kuhusu uelewa wa matumizi ya sarafu06/07/202309:42 -
Juhudi za kupambana na uchafuzi wa Ziwa Victoria kaskazini Magharibi mwa Tanzania
Mwandishi wetu Martin Nyoni ameandaa Makala ya haya akiwa mjini Mwanza14/06/202309:59 -
Ndoa za utotoni zinavyo sababisha fistula Afrika Mashariki
Ndoa za utotoni zinatajwa kusababisha athari kwa watoto wa kike kisaikolojia, kiafya, kiuchumi na hata Kwenda mbali zaidi kusabisha athari za afya31/05/202309:58
Afrika Ya Mashariki
Kwenye makala ya Afrika ya Mashariki unahabarika na kuelimika juu ya changamoto za maisha ya wananchi wa Afrika Mashariki na eneo zima la maziwa makuu. Usipitwe na Makala ya Afrika ya Mashariki kwani unapata nafasi ya kutoa mawazo yako na kusikiliza wataalamu mbalimbali watakaokuwezesha kubadili fikra na kufikia maendeleo endelevu.