Pata taarifa kuu
Afrika Ya Mashariki

Uelewa wa wakazi wa Jiji la Mwanza juu ya matumizi ya sarafu moja

Imechapishwa:

Mwandishi wa Martin Nyoni amezungumza na wakazi wa Mwanza nchini Tanzania kuhusu uelewa wa matumizi ya sarafu 

Mpango huu wa viongozi wa jumuiya ya Afrika Mashariki yenye wanachana saba wa kuwa na sarafu moja
Mpango huu wa viongozi wa jumuiya ya Afrika Mashariki yenye wanachana saba wa kuwa na sarafu moja Trevor Snapp/Bloomberg via Getty Images
Matangazo ya kibiashara

Mpango huu wa viongozi wa jumuia hii yenye wanachana saba kwa sasa ulifasiliwa na baadhi ya wachumi kuwa ni sawa na kusukuma tofali kwenye kina kirefu cha bahari bila kuwa na matarajio ya kulifikia tena tofali hilo

Umoja wa Fedha wa Afrika Mashariki (EAMU) ni hatua muhimu katika mchakato wa Mtangamano wa Kikanda wa Jumuiya ya Afrika Mashariki. Itifaki ya EAMU ilipitishwa kwa mujibu wa Mkataba wa EAC na kutiwa saini tarehe 30 Novemba 2013 lakini wananchi wa jumuiya hii wao wanasema kuwa

Karibu katika Makala ya Afrika mashariki hii leo tunatuwa nchini Tanzania tukiangaza uelewa wa wakazi wa taifa hii la ukanda wa Afrika mashariki juu ya mchakato wakuwa na matumizi ya sarafu moja sanjali na maoni ya wanazuoni wakati ikiwa ni muongo moja sasa tangu kusainia kwa makubalino yakuwa na sarafu moja.

Vipindi vingine
  • 09:59
  • 09:59
  • 09:59
  • 09:59
  • 09:59
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.