Afrika Ya Mashariki
Kwenye makala ya Afrika ya Mashariki unahabarika na kuelimika juu ya changamoto za maisha ya wananchi wa Afrika Mashariki na eneo zima la maziwa makuu. Usipitwe na Makala ya Afrika ya Mashariki kwani unapata nafasi ya kutoa mawazo yako na kusikiliza wataalamu mbalimbali watakaokuwezesha kubadili fikra na kufikia maendeleo endelevu.
Soma yanayofuataSikiliza kipindi kilichopita
Vipindi vyote
-
Maendeleo ya kijamii kijijini Kogelo
Katika makala ya Afrika ya Mashariki, tunaangazia juu ya maendeleo ya kijamii katika kijiji cha Kogelo, Kaunti ya Siaya, magharibi mwa Kenya, alipozaliwa baba yake rais wa Marekani Barack Obama.11/02/201509:34 -
Shule zaitwa “Yeboyebo” Tanzania
Makala ya Afrika Mashariki inaangazia juu ya changamoto kwenye sekta ya elimu nchini Tanzania, ambapo baadhi ya shule nyingi za serikali ngazi ya kata zimegeuzwa na kuitwa “ Yeboyebo”, na kwa upande mwingine makala haya yanagusia shule binafsi zenye hadhi za kimataifa.27/01/201509:23 -
Changamoto za kiusalama na elimu kwa maalbino
Makala ya Afrika ya Mashariki inaangazia juu ya changamoto za kiusalaama na elimu kwa walemavu wa ngozi (albino) waishio mikoa ya kanda ya ziwa magharibi mwa Tanzania.27/10/201409:26 -
Miaka 15 tangu kuaga dunia kwa Baba wa Taifa la Tanzania Mwalimu Julius Nyerere
Juma hili, Tanzania imeadhimisha miaka 15 tangu kuaga dunia kwa Mwanzilishi wa taifa lao Mwalimu Julius Kambarage Nyerere mwaka 1999.Ni kiongozi ambaye anakumbukwa ndani ya nje ya Tanzania kama anavyobaini Mwandishi wetu Julian Rubavu.15/10/201409:28 -
Kifo cha baba wa taifa la Tanzania
Makala haya ya Afrika ya Mashariki ambayo ni sehemu ya kwanza inaangazia kumbukumbu ya miaka 15 ya kifo cha mtetezi wa uhuru wa tanzania Julius Kambarage Nyerere.07/10/201409:24 -
Hati za kusafiria kwa raia wa Afrika ya mashariki
Makala haya ya Afrika ya Mashariki inaangaziajuu ya hati za kusafiria kwa raia wa afrika ya mashariki. Nchi za Kenya, Rwanda na Uganda zimekubaliana kutumia vitambulisho vya uraia kutoka nchi moja hadi nyingine baina ya nchi hizo. Je, kuna changamoto gani katika utekelezwaji wa hatua hiyo? Kujua mengi zaidi, sikiliza makala haya.05/09/201409:22 -
mkutano wa viongozi wa madhehebu ya kiislamu toka afrika ya mashariki na kati mjini Bujumbura
Makala haya ya Afrika ya Mashariki inaangazia juu ya mkutano wa viongozi wa madhehebu ya kiislamu toka afrika ya mashariki na kati waliokutana mjini Bujumbura nchini Burundi juma lililopita kuzungumzia namna ya kuimarisha amani kinyume na dini yao kuhusishwa na vitendo vya kigaidi05/09/201409:30 -
sherehe za nane-nane nchini Tanzania
Makala haya ya Afrika ya Mashariki inaangazia juu ya sherehe za nane-nane zilizoadhimishwa juma lililopita nchini Tanzania. Shere hizo zimemlenga zaidi mwananchi mkulima wa Tanzania. Karibu uungane na baadhi ya raia wa magharibi mwa Tanzania kujua hali ya kilimo ilivyo maeneo yao.05/09/201409:34 -
changamoto za matumizi ya vitambulisho vya utaifa
Makala ya Afrika ya mashariki huu ni inaangazia juu ya changamoto za matumizi ya vitambulisho vya utaifa na changamoto maeneo ya mipakani kwa mataifa ya Kenya, Rwanda na Uganda ikiwa ni utekelezaji wa makubaliano ya wakuu wa nchi hizo kwa raia wake kutumia vitambulisho hivyo kuingia na kutoka nchi moja hadi nyingine. Makubaliano hayo yameanza kutekelezwa Januari 2014.05/09/201409:29 -
Kurejea bungeni kwa wabunge wa bunge maalum la katiba
Makala ya Afrika ya Mashariki inaangazia juu yauapatikanaji katiba mpya nchini Tanzania. Hii ni kuwa wakati huu ndiomuda wa Bunge maalumu la Katiba kurejea Bungeni na kujadili kwa upyarasmu ya pili ya katiba. Kundi la UKAWA wako nje ya Bunge na Kundilingine wako ndani ya Bunge. Je, ni nini Mtazamo wa walioko bungeni nawalioko nje ya Bunge? Kupata mengi ungana na Julian Rubavu.08/08/201409:29 -
Sehemu ya pili ya makala maalumu juu ya mashujaa wa Tanzania
Hii ni sehemu ya pili ya makala maalumu juu ya mashujaa wa Tanzania.Juma lililopita uliwasikia baadhi ya mashujaa wa Tanzania waliopiganakwenye vita kuu ya pili ya dunia. Leo tutamsikia amiri jeshi mkuu akieleza maana ya siku ya mashujaa na gharama za kulinda taifa.25/07/201409:25 -
Ujirani mwema kati ya Burundi na Tanzania
Tunaendelea na sehemu ya pili juu ya juhudi za raia wa Burundi naTanzania kuimarisha uhusiano mwema kupitia mpango wa ujirani mwemamaeneo ya mpakani ambapo si tu viongozi wa serikali, lakini hata raiawameshachukua hatua za kuboresha mahusiano mfano mzuri kupitia michezobaina ya raia wa nchi hizo jirani.09/07/201409:27 -
Maonesho ya kitaifa-Sabasaba- Tanzania
Kwenye makala ya afrika ya mashariki leo tunaangazia juu ya maoneshoya kimataifa ya sabasaba yaliyoanza juni 25 na kuhitimishwa Julai 07,2014 mjini Bukoba Tanzania.09/07/201409:22 -
Mjadala wa katiba mpya nchini Tanzania
Kwenye makala ya Afrika ya Mashariki leo tunaangazia juu ya mjadala wakatiba mpya nchini Tanzania. Utawasikia viongozi wa vyama vya siasana serikali wakizungumzia juu ya mvutano unaoendelea nchini kuhusumuundo wa serikali ambapo chama tawala cha CCM kinataka serikali mbili, naupinzani unataka serikali tatu28/05/201409:29 -
Maendeleo endelevu katika Jumuiya ya Afrika Mashariki
Kwenye makala ya afrika ya mashariki leo tunaangazia juu ya changamotoza Utawala bora na haki za binadamu kwenye Jumuiya ya Afrika Mashariki. Bunge la Afrika Mashariki limedhamiria kuhakikisha raiawa jumuiya hiyo wanapata maendeleo endelevu kupitia utawala bora nahaki za binadamu.26/05/201409:31
Afrika Ya Mashariki
Kwenye makala ya Afrika ya Mashariki unahabarika na kuelimika juu ya changamoto za maisha ya wananchi wa Afrika Mashariki na eneo zima la maziwa makuu. Usipitwe na Makala ya Afrika ya Mashariki kwani unapata nafasi ya kutoa mawazo yako na kusikiliza wataalamu mbalimbali watakaokuwezesha kubadili fikra na kufikia maendeleo endelevu.