Makala haya ya Afrika ya Mashariki yanaangazia juu ya changamoto za mauaji ya walemavu wa ngozi (Albino), ambayo yamekithiri katika kanda ya ziwa Magharibi mwa Tanzania.
Vipindi vingine
-
Ujumbe unaoandikwa kwenye vyombo vya usafiri katika mataifa ya Afrika
Je ujumbe unaoandikwa unahalisia na vitu vilivyowatokea makonda na madereva wa vyombo hivyo.01/05/202409:59 -
Tanzania:Juhudi za wabunifu katika kupunguza hewa ya ukaa kutunza mazingira
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Masuala na Utalii, katika taarifa ya misitu na ufugaji nyuki inabainisha kuwa mkaa ni chanzo kikubwa cha nishati ya kaya katika maeneo ya mijini kwa kupikia na kupasha joto, kwa kuwa inachukuliwa kuwa ya bei nafuu na inapatikanakwaurahisi.18/04/202409:59 -
Fursa za uchumi wa buluu zilizopo katika Ziwa Victoria
Uchumi wa Buluu ni dhana pana yenye kubeba maana nzima ya kutumia kila rasilimali itokanayo na rasilimali maji kama Bahari, mito na maziwa.13/04/202409:59 -
Magonjwa ya figo Afrika Mashariki
Wagonjwa wengi barani Afrika wanahisi kuwa gharama ya matibabu ya figo ipo juu zaidi.03/04/202409:59 -
Sehemu ya pili: Mradi wa kilimo unaofadhiliwa na AFD mjini Arusha
Mradi wa kilimo endelevu unatanua mbawa zake sio tu katika kilimo bali pia kuwajengea uwezo wakulima kufanya shuguli za ufugaji.30/03/202409:59