Pata taarifa kuu

Covid-19: Burundi kuanza kutoa chanjo kwa raia wake

Burundi inapokea shehena ya kwanza ya chanjo ya kupambana na maambukizi ya virusi vya Corona Alhamisi hii Oktoba 14.

Burundi na Eritrea ni mataifa pekee ya Afrika ambayo bado hayajaanza kampeni ya kutoa chanjo kwa raia wake.
Burundi na Eritrea ni mataifa pekee ya Afrika ambayo bado hayajaanza kampeni ya kutoa chanjo kwa raia wake. SIMON MAINA AFP/File
Matangazo ya kibiashara

Nchi hiyo ya Jumuiya ya Afrika Mashariki itapokea msaada wa Dozi 500,000 ya chanjo aina ya sinopharm kutoka nchini China na baadaye itapokea Dozi 124,000 aina ya Johnson and Johnson baadaye mwezi huu.

Hivi karibuni mamlaka ilikuwa imewekwa hatua kadhaa, hususan uvaaji wa barakoa kwa watu wanaosafiri katika mabasi na magari ya watu binafsi katika kukabiliana na maabukizi ya virusi vya Corona.

Burundi na Eritrea ni mataifa pekee ya Afrika ambayo bado hayajaanza kampeni ya kutoa chanjo kwa raia wake.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.