Pata taarifa kuu

DRC: Serikali imesisitizia suala la kuondoka kwa wanajeshi wa EAC

Serikali nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, inasema vikosi vya Jumuiya ya Afrika Mashariki vimeshindwa kurejesha amani mashariki mwa taifa hilo na kutoa wito kwa jeshi hilo kuondoka kufikia mwezi Desemba.

Wanajeshi wa EAC wanatuhumiwa kwa kushindwa kukabiliana na suala la utovu wa usalama
Wanajeshi wa EAC wanatuhumiwa kwa kushindwa kukabiliana na suala la utovu wa usalama © Glody Murhabazi / AFP
Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.