Pata taarifa kuu

Ugonjwa wa Marburg yaendelea kusambaa katika mataifa ya Afrika

Ugonjwa wa Marburg unaofanana na Ebola umegunduliwa katika mataifa zaidi ya Afrika

Virusi vya Marburg
Virusi vya Marburg © CDC/ Dr. Frederick Murphy
Matangazo ya kibiashara

 

Kwenye mahojiano jioni hii, tunaangazia ugonjwa wa Marburg ambao umegundulika katika eneo la Kagera  Kaskazini Magharibi mwa Tanzania na kusababisha vifo vya watu watano. 

Huko nchini Equatorial Guinea WHO inasema maambukizi mapya manane yamebainika.

 Carol Korir, amezungumza na Daktari Davji Bhimji Atella ambaye pia ni Katibu Mkuu wa chama cha Madaktari nchini Kenya.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.