Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 25/03 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 25/03 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 24/03 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Habari mpya kabisa
  • Korea Kaskazini yarejea kwenye muungano wa Korea mbili (Seoul)
Afrika

Dunia yaadhimisha siku ya uhuru wa vyombo vya Habari

media Uhuru wa vyombo vya habari umeshuka kwa karibu theluthi mbili duniani, kulingana na ripoti ya mwaka 2017 ya shirika la wanahabari la Reporters Without Borders (RSF). Reporters sans Frontières

Leo ni siku ya uhuru wa vyombo vya Habari duniani. Siku hii hutumiwa kuthathmini hali ya uhuru wa vyombo vya habari, kutoa taarifa katika mataifa mbalimbali duniani kwa uhuru, kupinga unyanyasaji wa wanahabari na kuwakumbuka wanahabari ambao wamepoteza maisha wakiwa katika maeneo ya kazi.

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guteress amewataka viongozi wa dunia kuheshimu uhuru wa vyombo vya Habari, suala ambalo bado linasalia changamoto hasa kwa mataifa ya Afrika.

Nchini Burundi wanahabari wanasema wanafanya kazi kwa uoga na katika mazingira magumu.

Wanahabari wengi waliuawa na wengine wamefungwa na wale ambao hawajakabiliwa na hali hiyo wanafanya kazi yao kwa uoga. Hali hii inashuhudiwa katika nchi ambazo zinaendelea kuminya uhuru wa habari, hasa barani Afrika na baadhi ya nchi za Asia na Amerika Kusini.

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana