Pata taarifa kuu
CAF-SOKA-AFRIKA

Droo ya hatua ya makundi kutangazwa Mei 24

Droo ya hatua ya makundi ya kutafuta ubingwa taji la klabu bingwa barani Afrika itatangazwa tarehe 24 mwezi Mei.

Wachezaji wa klabu ya DRC ya AS Vita Club.
Wachezaji wa klabu ya DRC ya AS Vita Club. AFP PHOTO / JUNIOR D.KANNAH
Matangazo ya kibiashara

Vlabu vinane ambavyo vimefuzu katika hatua hii tayari vimefahamika na vitawekwa katika hatua ya makundi mawili, kila kundi na timu nne.

Kanuni za Shirikisho la soka barani Afrika CAF, linaweka wazi kuwa mechi hizo zitachezwa nyumbani na ugenini na mshindi atafuzu katika hatua ya nusu fainali.

Vlabu vilivyofuzu ni pamoja na:-

  • ES Setif ya Algeria
  • AS Vita Club ya DRC
  • Al-Ahly ya Misri
  • Zamalek ya Misri
  • ASEC Mimosas ya Cote Dvoire
  • Wydad Casablanca ya Morocco
  • Enyimba ya Nigeria
  • ZESCO United ya Zambia

Mabingwa watetezi wa taji hili msimu uliopita TP Mazembe waliondolewa baada ya kufungwa ugenini mabao 2 kwa 0 na sare ya bao 1 kwa 1 mjini Lubumbashi siku ya Jumatano.

Nayo droo ya hatua ya mwondoaano kuwania taji la Shirikisho itafanyika tarehe 21 mwezi Aprili.

Vlabu vilivyofuzu katika michuano hii ya Shirikisho vitakutana na vile vilivyoondolewa katika hatua ya taji la klabu bingwa barani Afrika.

Kutoka taji la Shirikisho

  • Sagrada Esperança
  • Misr El-Makasa
  • CF Mounana
  • Medeama
  • FUS Rabat
  • Kawkab Marrakech
  • Espérance de Tunis
  • Stade Gabèsie
Kutoka taji la klabu bingwa

  • MO Béjaïa
  • TP Mazembe
  • Al-Ahli Tripoli
  • Stade Malien
  • Mamelodi Sundowns
  • Al-Merrikh
  • Young Africans
  • Étoile du Sahel

 

 

 

 

 

 

 

Kutoka taji la Shirikisho                                   

Sagrada Esperança                                   

Misr El-Makasa

CF Mounana

Medeama

FUS Rabat

Kawkab Marrakech

Espérance de Tunis

Stade Gabèsie

Kutoka taji la klabu bingwa

MO Béjaïa

TP Mazembe

Al-Ahli Tripoli

Stade Malien

Mamelodi Sundowns

Al-Merrikh

Young Africans

Étoile du Sahel

 

 

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.