Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Jeshi la Uganda kutoka DRC baada ya kuangamiza ADF, Dunia yapambana na Omicron

Imechapishwa:

Makala hii imeangazia kauli ya jeshi la Uganda (UPDF) kuwa halitaondoka mashariki mwa DRC hadi pale waasi wa ADF watakapotokomezwa. Rwanda imepokea faru weupe na kuwahifadhi katika mbuga Akagera, rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ayataka mataifa ya Afrika kushirikiana ili kupambana na kirusi cha omicron, lakini pia uchaguzi wa nchini Gambia na mengine mengi. Ungana na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka kusikiliza zaidi.

Kikosi cha wanajeshi wa Ugandan UPDF karibu na mpaka wa DRC kuwasaka waasi wa ADF mnamo mwezi Marchi 2007.
Kikosi cha wanajeshi wa Ugandan UPDF karibu na mpaka wa DRC kuwasaka waasi wa ADF mnamo mwezi Marchi 2007. Photo: AFP Photo/Peter Busomoke
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.