Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

DRC: Rais Felix Tshisekedi ashinda uchaguzi kwa muhula wa pili

Imechapishwa:

Baadhi ya habari ambazo tumeangazia ni matokeo ya uchaguzi nchini DRC ambapo Felix Tshisekedi ameshinda uchaguzi kwa muhula wa pili kwa asilimia 73.34, katika matokeo ya uchaguzi ambayo yametangazwa na Ceni Jumapili jioni.

Félix Tshisekedi amechaguliwa tena kuwa rais wa DRC kwa asilimia 73.34 ya kura kulingana na hesabu ya Tume ya Uchaguzi.
Félix Tshisekedi amechaguliwa tena kuwa rais wa DRC kwa asilimia 73.34 ya kura kulingana na hesabu ya Tume ya Uchaguzi. © BOSOLO NA POLITIK OFFICIELLE
Matangazo ya kibiashara

Tutaangazia pia mashambulio ya ADF kule Uganda lakini pia mkutano wa ana kwa ana kati ya majenerali wanaopigana Sudan ambao haukufanikiwa, hali kule Nigeria kutokana na mapigano kati ya wakulima na wafugaji katika jimbo la Plateau, Urusi kufungua tena ubalozi wake nchini Burkina Faso na ulimwenguni tutazidi kuangazia hali ya vita vya Gaza

Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.