Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Hali ya sintofahamu Afghanistan, watu 18 wauawa DRC na rufaa ya BBI yakataliwa Kenya

Imechapishwa:

Makala hii imeangazia hali ya wasiwasi ilivyoshuhudiwa nchini Afghanistan baada ya Taliban kuudhibiti mji mkuu wa Kaboul, kule nchini DRC watu 18 wauawa mashariki mwa nchi hiyo, na nchini Kenya mahakama ya rufaa ilitupilia mbali kesi inayohusu mchakato wa mabadiliko ya katiba maarufu kama BBI, na mengine mengi.Ungana na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka kusikiliza zaidi.

Msemaji wa Taliban Zabihullah Mujahid,  akisema raia wamelindwa na wanawake watapewa nafasi serikalini. Wakati wa mkuatno wa waandishi wa habari mjini Kaboul, Agosti 17 2021.
Msemaji wa Taliban Zabihullah Mujahid, akisema raia wamelindwa na wanawake watapewa nafasi serikalini. Wakati wa mkuatno wa waandishi wa habari mjini Kaboul, Agosti 17 2021. REUTERS - STRINGER
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.