Pata taarifa kuu
Changu Chako, Chako Changu

Historia ya waswahili wa Burundi sehemu ya tatu ndani ya Changu Chako Chako Changu

Imechapishwa:

Katika sehehemu hii ya tatu na ya mwisho ya makala kuhusu historia ya waswahili wa Burundi, mzee anzuruni anatueleza hapa kuhusu harakati za kumtambua mswahili wa Burundi zilipofikia. Utafahamu pia kuhusu historia ya mwanamuziki Jux kutoka nchini Tanzania. ambatana naye Ali Bllali hapa rfi kiswahili. usikosi pia kumfollow kwa instagram @billy_bilali

Wanaharakati wa utetezi wa haki za waswahili wa Burundi katika maandamano mjini Arusha mwaka 2015.
Wanaharakati wa utetezi wa haki za waswahili wa Burundi katika maandamano mjini Arusha mwaka 2015. © @Ali Bilali
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.