Pata taarifa kuu
Changu Chako, Chako Changu

Mila na tamaduni za watu wa Rumonge Kusini mwa Burundi, Andy Mwag msanii tishio jukwaani

Imechapishwa:

Katika makala haya Jumapili ya leo Ali Bilali anakuletea mila na tamaduni za watu wa Rumonge kusini mwa Burundi, na kwenye muziki utamsikia msanii Andy Mwag mwanamuziki kutoka nchini Burundi ambae amekuwa tishio jukwaani katika muziki wa Live. Ambatana na mtangazaji wako mwanzo hadi tamati, na usiksahau kumfollow kwa instagram kwa kuandika

Msanii kutoka nchini Burundi Andy Mwag
Msanii kutoka nchini Burundi Andy Mwag © @Ali Bilali
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.