Pata taarifa kuu
Changu Chako, Chako Changu

Kongamano la nne la idhaa za kiswahili duniani "Tasnia ya habari na ubidhaishaji Kiswahili duniani"

Imechapishwa:

Karibu kuungana nami katika Makala haya Changu Chako Chako Changu, Makala ambyo hukuletea Historia ya mambo mbalimbali, utamaduni, le parler francophone na Muziki, ambapo leo nakuletea sehemu ya kwanza ya mazungumzo kuhusu Kongomano la nne la idhaa za Kiswahili duniani. Kwenye le Parler francophone nitakueleza ratiba ya shughuli za kitamaduni Alliance francaise ya Nairobi na Dar es salaam. Na kwenye Muziki nitakuletea mwanamuziki Idd Aziz kutoka nchini Kenya.

Viongozi mbalimbali wakiongozwa na waziri mkuu wa Tanzania Majaliwa Kasim wakati wa uzinduzi wa kongamano la idhaa za kiswahili duniani mkoani Mbeya Machi 18 2024
Viongozi mbalimbali wakiongozwa na waziri mkuu wa Tanzania Majaliwa Kasim wakati wa uzinduzi wa kongamano la idhaa za kiswahili duniani mkoani Mbeya Machi 18 2024 © @billy_bilali
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.