Pata taarifa kuu
Changu Chako, Chako Changu

Historia ya waswahili wa Burundi katika Makala Changu Chako Chako Changu na Ali Bilali

Imechapishwa:

Katika Makala haya, Ali Bilali mtangazaji wa maswala ya Historia na utamaduni kutoka RFI Kiswahili anakuletea historia ya waswahili wa Burundi katika mazungumzo na mzee mkongwe mwana Historia kutoka Buyenzi, Mzee Anzuruni Hussein,  ikiwa ni sehemu ya kwanza, na  kwenye le Parler francophone tutaangazia kuhusu ratiba ya shughuli za kitamaduni Alliance Francaise ya Nairobi na Dar es salaam. Na kwenye Muziki tutamuangazia mwanamuziki Vichou Love kutoka nchini Burundi.

Kundi la harakati la waswahili wa Burundi walipokwenda Arusha kuomba kuhudhuria kwenye mazungumzo ya kusaka suluhu ya warundi katika mzozo wa mwaka 2015.
Kundi la harakati la waswahili wa Burundi walipokwenda Arusha kuomba kuhudhuria kwenye mazungumzo ya kusaka suluhu ya warundi katika mzozo wa mwaka 2015. © @Ali Bilali
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.