Pata taarifa kuu
Changu Chako, Chako Changu

Sehemu ya pili ya makala Changu Chako Chako Changu kuhusu historia ya Waswahili wa Burundi

Imechapishwa:

Ni furaha kubwa kukutana nawe Jumapili nyingine katikza Makala haya changu chako chako changu ambapo leo nakuletea sehemu ya pili ya makala kuhusu historia ya waswahili wa Burundi. Na kwenye le parler francophone nitakujuza ratiba ya shughuli kwenye Alliance francaise ya Nairobi, Dar es salaam na Alliance francaise ya Lubumbashi. Kwenye Muziki nitakuletea mwanamuziki kutoka nchini Burundi anaitwa Miraculos Lop. Mimi naitwa Ali Bilali mtangazji wako asiependa makuu. Bienvenue, ama Karibu

Kundi lq wanaharakati waliokwenda Arusha wakati wa mazungumzo ya Warundi mwaka 2015 kuomba kutambuliwa
Kundi lq wanaharakati waliokwenda Arusha wakati wa mazungumzo ya Warundi mwaka 2015 kuomba kutambuliwa © @Ali Bilali
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.