Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 14/11 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 14/11 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 14/11 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Afrika

Polisi yakabiliana na waandamanaji Sudan

media Hali iliyoshuhudiwa wakati wa maandamano dhidi ya kupanda kwa bei ya bidhaa mahitajio hasa mkate katika mji wa Atbara, Sudan, Desemba 20, 2018. REUTERS/El tayeb Siddig

Maandamano mapya dhidi ya kuongezeka kwa bei ya mkate yameongezeka jana Jumapili nchini Sudan huku polisi wa kuzuia ghasia wakisambazwa kwenye mji mkuu wa Khartoum kwa siku tano za maandamano ambayo tayari yamegharimu maisha ya takribani watu nane.

Waandamanaji walichoma matairi na matawi ya miti mitaani na kujaribu kuharibu jengo la serikali kabla ya kuzuiwa na maafisa wa usalama, mashahidi alisema.

Viongozi wa upinzani nchini humo wanasema waandamanaji 22 wameuawa katika maandamani hayo yaliyoanza wiki iliyopita, kwa kupigwa risasi na polisi.

Polisi nchini Sudan wameendelea kukabiliana na waandamanaji katika miji mbalimbali.

Mamia ya waandamanaji jana, walikabiliana na polisi karibu na uwanja wa soka jijini Khartoum.

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana