Pata taarifa kuu

Miji miwili magharibi mwa Ukraine yakabiliwa na mashambulizi ya anga

Mashambulizi ya usiku yamelenga miji ya Lviv na Lutsk magharibi mwa Ukraine, maafisa wa eneo hilo wamesema Jumanne asubuhi. 

Wahudumu wa afya wakiwa wamembeba mtu kutoka eneo la jengo la makazi lililopigwa na kombora la Urusi, wakati Urusi iliposhambulia Ukraine, huko Lviv, Ukraine Julai 6, 2023.
Wahudumu wa afya wakiwa wamembeba mtu kutoka eneo la jengo la makazi lililopigwa na kombora la Urusi, wakati Urusi iliposhambulia Ukraine, huko Lviv, Ukraine Julai 6, 2023. © REUTERS / ROMAN BALUK
Matangazo ya kibiashara

"Makombora mengi yamepigwa, lakini pia kulikuwa na mashambulio huko Lviv," meya wa jiji Andriy Sadovyi amesema kwenye Telegram, na kuongeza kuwa "majengo ya makazi" yamepigwa. 

Katika mji wa Lutsk, majengo ya kampuni katika sekta ya viwanda yalipigwa, na watu wawili kujeruhiwa, kulingana na gavana wa mkoa wa Volyn, Yuriy Poguliaiko.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.