Pata taarifa kuu
UINGEREZA-SIASA

Chama cha Boris Johnson chaangukia pua katika uchaguzi mdogo Shropshire Kaskazini

Nchini Uingereza, chama cha Conservative  cha  Waziri Mkuu Boris Johnson, kimepoteza kiti cha eneo la bunge la Shropshire Kaskazini katika uchaguzi mdogo ambao chama cha Liberal Democrats kimeshinda kwa Helen Morgan kuchaguliwa.

Uingereza: Waziri Mkuu Boris Johnson (hapa Desemba 15) yuko katika hali ngumu ya kisiasa.
Uingereza: Waziri Mkuu Boris Johnson (hapa Desemba 15) yuko katika hali ngumu ya kisiasa. REUTERS - HENRY NICHOLLS
Matangazo ya kibiashara

Umuhimu wa eneo hilo hilo kwa chama cha Waziri Mkuu Johnson, ni kuwa kimekuwa kikishinda kwa karibu miaka 200. Johnson amesema anaelewa masikitiko ya wafausi wa chama chake.

Wachambuzi wa siasa wanasema matokeo haya mabaya ya chama cha Conservative, yanazua maswali kuhusu uimara wa uongozi wa Waziri Mkuu Boris Johnson.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.